Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

Uzuri unaonifanya niwakumbuke hesgoal sio app ambayo huenda ikajaza simu yako,au kuchukua nafasi kubwa, matangazo machache,unachagua quality unayotaka kuangalia iwe ni HD au kawaida, unachagua mpaka lugha. Yaan wajamaa walikuwa complete kabisa. Watakumbukwa na wengi sana
 
Acheni kupenda slope. Wacha wafungiwe.
Huna uwezo wa kumudu gharama ni kuipotezea starehe husika maana sio basic need. Starehe gharama. Piracy sio dili.
Slope kivipi mkuu,kwani hatutumii data?
 
Tumia tor browser
 
Kuna watu wanahisi kuwa tofauti ndo unakuwa smart kumbe ni ujinga tu. Yaani yawezekana hata hajui rate ya ulaji wa MB kwenye HD ya hiyo site ila anaropoka tu "slope".
Usichukulie kila kitu serious.
Utaumwa kichwa.
 
Jamaa hajitambui kabisa nimemdharau bure.
Acha kupanic wewe
Tumia njia legit kuburudika.
Lipia subscription fee kwa wahusika upate access u-stream live na kuenjoy benefits za nyongeza.
Janjanjaja ndio ishaondolewa wanafanya infringement hakimiliki za watu. Watu wanawekeza pesa wengine wanaleta ujanjajanja.
Kwahiyo kwa sababu unatumia MBs haushiriki kwenye piracy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…