Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

Wewe ni mhaya? mbona mjuaji sana
 
Hata ving'amuzi unalipia ingawa umeme umeshalipia tayari. Unless useme kwa kuwa umeshalipia umeme basi na king'amuzi utumie bure.
Mfano hauendani
 
Mfano hauendani
Hauendani kivipi!? Kutaka kuona chaneli za watu bure kwa kuwa unatumia bando la data ambalo umelinunua kwa hela yako mwenyewe, hakuna tofauti na kutaka une chaneli za dstv bure kwa kisingizio tu "tayari unalipia umeme ambao unatumika kuwashia decoder yao". Maana zote hizo nibkulazimisha vya bure.
 
Wenzio hawa wanashikana mashati kisa tbc kuonyesha mechi zote za nusu final wakati hawahawa wabongo walikua wanalalamika tbc kuonyesha mechi moja moja
 
Tafuteni yacine tv.

Download app kutoka nje ya play store then install. App yake ina MB 7 nadhani kama sio MB 14.

Ukimaliza download ytv player baada ya hapo kula maisha
Asante sana mkuu Hii kitu iko poa sana jana nimeangalia mpira bila matatizo afu ina channel nyingi sema hii ytv nimechukua play store ila sijaona umuhimu wake naomba kueleweshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…