Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya hotel kwani huoni picha jombaaanabiashara gani huyu mwakilishi wa mbeya mjini.
View attachment 579593
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ alianza kuijenga hoteli yake toka mwaka 2016 jijini Mbeya na aliweka wazi kabisa kwamba alipata mkopo wa kuijenga kutoka CRDB BANK.
Itafahamika kwa jina Hotel Desderia
Tayari hoteli imefunguliwa na kuna nafasi za kulaza wageni kwenye room zilizojengwa kisasa lakini pia hata kwa chakula ni bora ambapo mchakato wa kumpata Mpishi ulipatikana kwa njia ya usaili, ukitazama kwenye hizi picha hapa chini utaona chakula alichokitoa Mpishi alieshinda kwenye huo usaili.
View attachment 579603
Mojawapo ya sample iliyoandaliwa kwenye usaili
View attachment 579594
muonekano wa nje
View attachment 579595
Padri akinyunyizia maji ya baraka kuizunguka hotel
View attachment 579596
baadhi ya wageni wakipata huduma
Hongera umehustle sana na maisha
Politics ni ajira nzuri naona umuhimu wa wizara ya elimu kuongeza somo la siasa kwenye mtaala ili watu waijue miiko yake kwa sababu watu wengine ni wabwabwajaji kama baadhi ya viongozi wa siasa kutoka ccm na upinzani, siasa inakumfanya mtu kuwa brand kubwa na uwezekano wa kuitumia kibiashara upo.
Sugu ni akili kubwa hutosikia akiburuzwa mahakamani na serikali kila leo hana muda huo he is always thinking of business.
Thumb Up kwa Mh Sugu au Jongwe kama yeye anavyopenda kujiita
Source millard
Great thinker mkuuuu ... Tumfanye kijana kua inspired na njia tulotumia kufanikiwa nasio Mafanikio tulonayo .iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Inaonekana hata post nzima hujaisoma,umekimbilia kuandika tu.Kwenye Post hapo juu,imeandikwa kabisa Sugu amesema ni mkopo toka bank ya CRDB.iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Big up kamanda!iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Mabasi sio yake ila jamaa ni mkinga lazma atusue kibznez
Ni ya naniMaviiiiiii mabasi sio yake ila jamaa ni mkinga lazma atusue kibznez
Matola...Chakula alichokitoa mpishi aliyeshinda ni kiboko! Hotel iko Mbeya sehemu gani? Hongera Sugu!
Na mimi nikupongeze kwa kutoa pongeziSafi sana Sugu Mimi si shabiki yako katika mambo mengi yakiwemo siasa lakini kwenye jambo hili la maendeleo na kupongeza sana na Allah akujalie zaidi uweze kulipa huo mkopo na ikiwezekana uwekeze pengine...
Hongera sana..Sugu.