Hatimaye Iran yathibitisha haiwezi kulipiza kisasi dhidi ya Israel

Hatimaye Iran yathibitisha haiwezi kulipiza kisasi dhidi ya Israel

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,606
Reaction score
4,914
Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN

Swali je ndo kusema Iran inaogopa nini kitatokea baada ya Israel kusema kipindi hiki Iran ikijaribu TU itakutana na moto?

Wale pro Iran/Russia karibu[emoji1787]
Chanzo CNN

Iran says it will not take ‘hasty action’ against Israel for killing of Hamas political leader https://www.cnn.com/2024/08/20/middleeast/iran-israel-irgc-comments-intl/index.html
images.jpg
 
Wamesemwa sana yaani Ugomvi wa Hamas malipo alipe Muajemi... wamegombana sana wengine wakimpa bichwa Ayatollah nasikia Raisi mpya ndio hataki ujinga huo.. kwani for really Israel ameapa kuwa wakirusha tu nae anarusha secunde tu na anatuma F35 na kama umjuavyo Netanyahu anatafuta vinu vya Nuclear na Maghara ya Mafuta na sehemu Nyeti... watatafutana Teheran...

Iran kaonywa kaelewa so anachofanya ni kutafuta raia wa Israel awalipe wafanye uasi at least kiongozi au idadi ya raia wafe... Ule Mchezo wa kurushiana kaona sio poa
 
Yaani iko hivii!

Utawala wowote uliowahi kuitawala Dunia, ulipoangushwa, haukuinuka tena na hautainuka tena na tena!

Irani hatainuka tena kama alivyokuwa Rumi n.k

Hii ni Kibiblia
Hako kakitabu kakutunga hakajawahi kusema kweli

Hem soma historia
 
Kulipa kisasi ni haqqi

Kisasi lazima kitalipwa tu yaani muwakilishi wa IRAN pale UN jioni hii hii kakujibu

Maana anajua kama akili zako wewe mtoa mada 😀
Kulipa kisasi ni haqqi nenda kamlipie wewe basi hiko kisasi!!!

Mwenye nchi yake ameshagwaya hataki hata kumsikia huyo Mzayuni kwenye masikio yake wewe upo hapa una-type kisasi ni haki kisasi ni haqqi nenda kajaribu uone kitakachokupata
 
Nchi ya wanafki WA Irani graf yake inashuka tena Kwa Kasi.Nchi yao iko complete compromised..Kuna watu wanajua kila hatua ya Ayatollah Ali khaminey..Bila Shaka na yeye Kwa sasa anatamani afe akapumzike na kijana wake aliekufa akinukia harufu ya mshikaki Hajj Kisimi Soleiman.Au akakutane na Yule mwenye kiburi Ebirahima rahisi aliekufa Kama ndezi milimani.Ayatollah anajipa moyo Tu ila ukweli keshaujua kwamba nchi yake iko kwenye shida na inashuka...Na asipoangalia kuna mawili either nchi yake iwe kama Yemen au utawala wa familia ya Reza Pahlav urudi madarakani.
 
Mbona unanifokea kijana hem tulia dawa isambae

Nakuuliza unafuatilia habari au unajua tu kuchamba watu kwa kukurupuka🤔😂😂
 
Nchi ya wanafki WA Irani graf yake inashuka tena Kwa Kasi.Nchi yao iko complete compromised..Kuna watu wanajua kila hatua ya Ayatollah Ali khaminey..Bila Shaka na yeye Kwa sasa anatamani afe akapumzike na kijana wake aliekufa akinukia harufu ya mshikaki Hajj Kisimi Soleiman.Au akakutane na Yule mwenye kiburi Ebirahima rahisi aliekufa Kama ndezi milimani.Ayatollah anajipa moyo Tu ila ukweli keshaujua kwamba nchi yake iko kwenye shida na inashuka...Na asipoangalia kuna mawili either nchi yake iwe kama Yemen au utawala wa familia ya Reza Pahlav urudi madarakani.
Sawa tuma salamu kwa watu watatu au wanne
 
Back
Top Bottom