Hatimaye Iran yathibitisha haiwezi kulipiza kisasi dhidi ya Israel

Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN

Swali je ndo kusema Iran inaogopa nini kitatokea baada ya Israel kusema kipindi hiki Iran ikijaribu TU itakutana na moto?

Wale pro Iran/Russia karibu[emoji1787]
Chanzo CNN

Iran says it will not take ‘hasty action’ against Israel for killing of Hamas political leader https://www.cnn.com/2024/08/20/middleeast/iran-israel-irgc-comments-intl/index.html
View attachment 3075791
Huwa ukishashiba makande unaropokaga sana.
Kama Iran mwezi may aliweza kurusha makombora na drone 300 kwenda Israel directly from Tehran kwanini ashindwe kufanya sasa hivi!??
Iran uwezo wa kuishambulia Israel anao tena sanaa.
Ila Rais wa awamu hii alipoingia madarakani alitoa wito kuwa Iran kwasasa uchumi wake sio salama kwa vita.
Pia Iran inatakiwa ipunguze tension na mataifa hasimu ili ijenge uhusiano na mataifa mengine ili kupunguza vikwazo vya kiuchumi.
Maana uchumi wa Iran uko too crippled.
 
Makombora au Bajaj? Hapo neno kombora limetumika vibaya...
 
Yaani iko hivii!

Utawala wowote uliowahi kuitawala Dunia, ulipoangushwa, haukuinuka tena na hautainuka tena na tena!

Irani hatainuka tena kama alivyokuwa Rumi n.k

Hii ni Kibiblia
Rumi ipo kupitia RC
 
Lete ushahidi wa biblia kukopiwa.
Lete hata mstari mmoja ambao umekopiwa kutoka biblia.
Yote yanayofanana yamekopiwa(bible ni yakwanza na Koran imekuja miaka mia 6 mbele) na yasiyofanana mlitunga. Hutaki andamana.
 
Lete mfano hapa.
Ongea kama msomi sio muimba taarabu.
Qur'an kuja baada ya biblia haileti justification kuwa Qur'an imenakili biblia.
Kama una uhakika na usemalo lete justification.
Kama HUNA JUSTIFICATION kaa kimya utaaibika ndugu yangu.
 
Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN

Swali je ndo kusema Iran inaogopa nini kitatokea baada ya Israel kusema kipindi hiki Iran ikijaribu TU itakutana na moto?

Wale pro Iran/Russia karibu[emoji1787]
Chanzo CNN

Iran says it will not take ‘hasty action’ against Israel for killing of Hamas political leader https://www.cnn.com/2024/08/20/middleeast/iran-israel-irgc-comments-intl/index.html
View attachment 3075791
Wametumia busara, siyo uoga
 
Umeshindwa kutetea hoja ya vitabu vyenu vya udaku hehee

Qur an sio kitabu wala maneno ya Muhammad nandio maana hata yeye alionywa alipotaka kwenda kombo na hayo maneno

Nyie vitabu vyenu vya literature vile vipo vipo tuuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo ulivyokalilishwa madrasa kama mudi mtume...[emoji1787][emoji1787] Ulisikia wap mtume ana mapengo?....mtume mwizi wa ngamia wa watu[emoji1787][emoji1787]
 
Iran na israhell nani kelele mingi kijana ?
Unafananisha Israel na wapumbavu.... Iran yenyewe inajua mziki wa Israel ndio maana inakunya kunya na this time watu wanamla kichwa ayatullah.... Israel maneno 1% vitendo 100%...Toka Iran iseme inashambulia Israel Leo siku ya ngap?....lakin bwana Nyau ukiyatimba anakufata ulipo anamaliza na wewe haijalishi uko wapi au uko na nani....hiyo Israel taifa jeuri🤣🤣
 
Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN

Swali je ndo kusema Iran inaogopa nini kitatokea baada ya Israel kusema kipindi hiki Iran ikijaribu TU itakutana na moto?

Wale pro Iran/Russia karibu[emoji1787]
Chanzo CNN

Iran says it will not take ‘hasty action’ against Israel for killing of Hamas political leader https://www.cnn.com/2024/08/20/middleeast/iran-israel-irgc-comments-intl/index.html
View attachment 3075791

Hii taarifa imetuumiza sana sisi Ritz , Webabu na Wairani wote wa kwa Mtogoro na Buguruni kwa Mnyamani, na sisi wa maarabu ya kwa mfuga mbwa hatukubaliani na hii taarifa. Irani inajipanga ilisha pandisha bendera nyekundu. Sasa inakuaje iweke mkia katikati ya makalio.
 
Back
Top Bottom