Hatimaye Iran yathibitisha haiwezi kulipiza kisasi dhidi ya Israel

Hatimaye Iran yathibitisha haiwezi kulipiza kisasi dhidi ya Israel

Kulipa kisasi ni haqqi
Kisasi lazima kitalipwa tu yaani muwakilishi wa IRAN pale UN jioni hii hii kakujibu

Maana anajua kama akili zako wewe mtoa mada 😀
NENDA SASA KAMLIPIE WEWE HIYO HAQQI.... UNADHANI NI RAHISI TU? IRAN AMEGWAYA MPAKA SASA MAYAHUDI WAMESHAJIPANGA WANASUBIRI TU MAARABU YASEME SUUUUH.... SAFARI HII MAYAHUDI YATAMGONGA HADI HAYATOLLAH MWENYEWE. SI UNAWAJUA? IRANI IMEELEWA YENYEWE ITAPOTEZA SANA...
 
Alokwambia wairan waarabu mwambie akupige tena msasa uelewe mambo
 
Safi sana Iran mwisho wa siku wagalatia watuajua tu kuwa makafiri wenzao Marekani na Israel ndio wanachafua amani ya Dunia Kwa maslahi yao
 
Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN

Swali je ndo kusema Iran inaogopa nini kitatokea baada ya Israel kusema kipindi hiki Iran ikijaribu TU itakutana na moto?

Wale pro Iran/Russia karibu[emoji1787]
Chanzo CNN

Iran says it will not take ‘hasty action’ against Israel for killing of Hamas political leader https://www.cnn.com/2024/08/20/middleeast/iran-israel-irgc-comments-intl/index.html
View attachment 3075791
Kilichoandikwa na CNN na ulichoandika wewe ni tofauti ili tu kuwazingua wavaa kobazi.

Habari hiyo inasema kwamba "..haitachukua hatua za haraka" yaani "hasty action" hiyo ndio tafsiri ya habari hiyo ingawa ni kweli Iran itakuwa imeachana na mpango wao wa kulipiza.
 
walikuwa wanasubiriwa kwa hamu waweka pua myahudi aikate, wamestuka. pole yao.
 
Kilichoandikwa na CNN na ulichoandika wewe ni tofauti ili tu kuwazingua wavaa kobazi.

Habari hiyo inasema kwamba "..haitachukua hatua za haraka" yaani "hasty action" hiyo ndio tafsiri ya habari hiyo ingawa ni kweli Iran itakuwa imeachana na mpango wao wa kulipiza.
Unawashwa kutokea wap 🤣
 
Back
Top Bottom