Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
NENDA SASA KAMLIPIE WEWE HIYO HAQQI.... UNADHANI NI RAHISI TU? IRAN AMEGWAYA MPAKA SASA MAYAHUDI WAMESHAJIPANGA WANASUBIRI TU MAARABU YASEME SUUUUH.... SAFARI HII MAYAHUDI YATAMGONGA HADI HAYATOLLAH MWENYEWE. SI UNAWAJUA? IRANI IMEELEWA YENYEWE ITAPOTEZA SANA...Kulipa kisasi ni haqqi
Kisasi lazima kitalipwa tu yaani muwakilishi wa IRAN pale UN jioni hii hii kakujibu
Maana anajua kama akili zako wewe mtoa mada 😀
Hahaha mkuu usifananishe bible na vitu vya ajabu.. Eti kitabu kinahimiza watu wafuge ndevu🤣Haina tofauti na Quran na brother ma mudi.....fix fix
Alokwambia wairan waarabu mwambie akupige tena msasa uelewe mamboNENDA SASA KAMLIPIE WEWE HIYO HAQQI.... UNADHANI NI RAHISI TU? IRAN AMEGWAYA MPAKA SASA MAYAHUDI WAMESHAJIPANGA WANASUBIRI TU MAARABU YASEME SUUUUH.... SAFARI HII MAYAHUDI YATAMGONGA HADI HAYATOLLAH MWENYEWE. SI UNAWAJUA? IRANI IMEELEWA YENYEWE ITAPOTEZA SANA...
Kitabu gani?Hahaha mkuu usifananishe bible na vitu vya ajabu.. Eti kitabu kinahimiza watu wafuge ndevu🤣
Hakuna cha Bible wa Qur'an, hivyo vyote ni vitabu kwa ajili ya mazombies tu.Una uhakika Quran ilitoka kwa mungu?
Kilichoandikwa na CNN na ulichoandika wewe ni tofauti ili tu kuwazingua wavaa kobazi.Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN
Swali je ndo kusema Iran inaogopa nini kitatokea baada ya Israel kusema kipindi hiki Iran ikijaribu TU itakutana na moto?
Wale pro Iran/Russia karibu[emoji1787]
Chanzo CNN
Iran says it will not take ‘hasty action’ against Israel for killing of Hamas political leader https://www.cnn.com/2024/08/20/middleeast/iran-israel-irgc-comments-intl/index.html
View attachment 3075791
Unawashwa kutokea wap 🤣Kilichoandikwa na CNN na ulichoandika wewe ni tofauti ili tu kuwazingua wavaa kobazi.
Habari hiyo inasema kwamba "..haitachukua hatua za haraka" yaani "hasty action" hiyo ndio tafsiri ya habari hiyo ingawa ni kweli Iran itakuwa imeachana na mpango wao wa kulipiza.
Duh Ila Jf 😀😀😀Sawa tuma salamu kwa watu watatu au wanne