Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea.

IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding​

Military reveals tunnel entrance, weapons cache found in Shifa Hospital complex * Body of hostage Yehudit Weiss recovered in Gaza, brought back to Israel * IDF Gaza op toll hits 51​

Uongo wa videos na taarifa za kuhusu kukutwa kwa mahandaki na silaha kwenye hospital,Jeshi la Israel lilifuta taarifa hizo baada ya kugundulika linadanganya na kutengeneza videos za uongo kuhalalisha mauaji na ushambuliaji wa vituo vya hospital kwani ni kinyume Cha sheria za vita!!

Propganda kubwa sana zinatumika!!
Screenshot_20231117-032548.png
Screenshot_20231117-032832.png
Screenshot_20231117-032842.png
 
Uongo wa videos na taarifa za kuhusu kukutwa kwa mahandaki na silaha kwenye hospital,Jeshi la Israel lilifuta taarifa hizo baada ya kugundulika linadanganya na kutengeneza videos za uongo kuhalalisha mauaji na ushambuliaji wa vituo vya hospital kwani ni kinyume Cha sheria za vita!!

Propganda kubwa sana zinatumika!!View attachment 2816076View attachment 2816077View attachment 2816078

Operesheni inaendelea kwenye hilo handaki ambalo makamanda wenu walikua wamejificha, wana habari wataalikwa kupiga mapicha rasmi.....
 
Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea.

IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding​

Military reveals tunnel entrance, weapons cache found in Shifa Hospital complex * Body of hostage Yehudit Weiss recovered in Gaza, brought back to Israel * IDF Gaza op toll hits 51​

w jamaa wa kikenya hua unalipwa? ni swali tu la ufahamu
 
Mbona hukuandiaka haya wakati walikua wanaua watu kule Israel, au Wayahudi sio binadamu, sasa hivi ndio mnajifanya mnavyojua kujali baada ya kipodo kugeuzwa.
Maneno yasiwe magumu sana sasa kwenye huu ushabiki
 
Mbona hukuandiaka haya wakati walikua wanaua watu kule Israel, au Wayahudi sio binadamu, sasa hivi ndio mnajifanya mnavyojua kujali baada ya kipodo kugeuzwa.
Kule Palestina watu wanataabika sana, yafaa kuwaonea huruma, unakuta mtu kapoteza watoto wake wote kwa pigo moja
 
Back
Top Bottom