Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Wasanii ndani ya jumba la sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri hoja yangu na hiyo screenshot. Biblia hamna sehemu hata Moja inasema Yahweh ni Shetani. LAKINI Quran ktk Sahih Al-Bukhari 4950 inasema Allah ni Shetani. Wakanushe kama sivyo.Allah mungu wa kiarabu na waislamu.
Yupo tofauti kabisa na ADONAI mungu wa wakrsto na wayahudi.
NB: KWA WAISLAMU YEHOVA NI SHETANI NA KWA WAKRSTO ALLAH NI SHETANI
Uharo mwingine huu yaani kila propaganda za Israel unameza tu. Hii video nakuwekea hapo chiniHabari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea.
IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding
Military reveals tunnel entrance, weapons cache found in Shifa Hospital complex * Body of hostage Yehudit Weiss recovered in Gaza, brought back to Israel * IDF Gaza op toll hits 51
Mitandao inahitaji watu wenye akili timamu ya kufikiria. Otherwise you will look fool. Hizo picha utakuta zina miaka mingi tena wakati wa good time. Watu wa propaganda wanazirusha sasahivi na nyinyi mlivyokuwa misukule mnazisambaza kwa mihemko
Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea.
IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding
Military reveals tunnel entrance, weapons cache found in Shifa Hospital complex * Body of hostage Yehudit Weiss recovered in Gaza, brought back to Israel * IDF Gaza op toll hits 51
https://www.timesofisrael.com/liveblog-november-16-2023/
yale maridhiano hayaja fikiwaHabari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea.
IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding
Military reveals tunnel entrance, weapons cache found in Shifa Hospital complex * Body of hostage Yehudit Weiss recovered in Gaza, brought back to Israel * IDF Gaza op toll hits 51
Mazayuni wanawadanganya na nyie mpo tu.
Unaambiwa Ghaza hakuna nyumba isiyokuwa na mlango wa kwenda kwenye mahandaki.
Tulieni mmefikiwa sasa, huu sio muda wa propaganda, mwacheni mzayuni afanye kazi yake.Mazayuni wanawadanganya na nyie mpo tu.
Unaambiwa Ghaza hakuna nyumba isiyokuwa na mlango wa kwenda kwenye mahandaki.
Hii nilikua namuinyesha kua viongozi wa kidini na kisiasa duniani.Mitandao inahitaji watu wenye akili timamu ya kufikiria. Otherwise you will look fool. Hizo picha utakuta zina miaka mingi tena wakati wa good time. Watu wa propaganda wanazirusha sasahivi na nyinyi mlivyokuwa misukule mnazisambaza kwa mihemko
Mungu wa wakiristo ni yesu,ndiye wamuombae na kumsifu,msijiweke kwa Mungu wa wayahudi, Mungu wenu alikatwa govi siku ya nane baada ya kuzaliwaAllah mungu wa kiarabu na waislamu.
Yupo tofauti kabisa na ADONAI mungu wa wakrsto na wayahudi.
NB: KWA WAISLAMU YEHOVA NI SHETANI NA KWA WAKRSTO ALLAH NI SHETANI
Hapa umedhihirisha umbumbumbu wako kuhusu Qur'an na Hadith,ni vitu viwili tofauti,uwe unajifunza kwanza vitu ndiyo unaingia ground kubishanaSoma vizuri hoja yangu na hiyo screenshot. Biblia hamna sehemu hata Moja inasema Yahweh ni Shetani. LAKINI Quran ktk Sahih Al-Bukhari 4950 inasema Allah ni Shetani. Wakanushe kama sivyo.
View attachment 2816338
Ndiyo maana Mwanawa Mfalme wa Saudia amazistukia hadithi zote za Quran kuwa haziwezi kuwa vitabu vya Mungu
View attachment 2816345
Mkuu unawapangia wakrsto wa Yehova Mungu.Mungu wa wakiristo ni yesu,ndiye wamuombae na kumsifu,msijiweke kwa Mungu wa wayahudi, Mungu wenu alikatwa govi siku ya nane baada ya kuzaliwa
Sijasema wakiristo wamuabudu Mungu wa waarabu,nachosema wakiristo Mungu wao yesu na si yehova,ndiye wanayemuomba na kumnadi kila siku,wewe wapi uliona wakiristo wakimuomba yehova!?..so wakiristo na wayahudi Wana miungu tofautiMkuu unawapangia wakrsto wa Yehova Mungu.
Yehova ni Mungu wa wakrsto.
Yesu mwana wa Yehova ni Mungu pia wa wakristo.
NB: TATIZO WAISLAMU NA WAARABU WANAUMIA SANA KIHISIA NA KIMWIKI KUONA WAKRSTO WANAMUABUDU MUNGU WA KIYAHUDI NA MWANAE.😂🤣🤣🤣🤣🤣
Wakrsto hawawezi kumuabudu mungu wa kiarabu,,,,,hawamtambui na mafundisho yake ya kiarabu hayawahusu
TUWAITE WAKRSTO HASA YEHOVAH WITNESS TUWAULIZE.Sijasema wakiristo wamuabudu Mungu wa waarabu,nachosema wakiristo Mungu wao yesu na si yehova,ndiye wanayemuomba na kumnadi kila siku,wewe wapi uliona wakiristo wakimuomba yehova!?..so wakiristo na wayahudi Wana miungu tofauti
Unaambiwa?Mazayuni wanawadanganya na nyie mpo tu.
Unaambiwa Ghaza hakuna nyumba isiyokuwa na mlango wa kwenda kwenye mahandaki.
Katoliki,mwamposa,lusekelo na walokole wengine Mungu wao yesu,shahidi wa yehova anajiita tu na kujinasibisha na yehova Kama wakiristo wengine lakini wakiomba wanamuomba yesu,yesu ndiye mtenda maajabu,yesu anakimbiza mapepo,yesu anaponya..na si yehovaTUWAITE WAKRSTO HASA YEHOVAH WITNESS TUWAULIZE.
WEWE MFUASI WA MUDY KUTOKEA MSIKITI WA MTAMBANI,,WAPI NA WAPI KUWASEMEA WAGALATIA NA IMANI YAO.
AU UNAWAONEA WIVU WAKILA KITIMOTO NA PRISNER??
Sasa utakataje na wakati kwenye hospitali hizo mapambano yamefanyika kati ya Hamas na IDF? Gaidi hana huruma , ameua wayahudi 1200 lakini kapoteza kila kitu ,utawala kapoteza, wanna hi wake wamepotea, makumba na miundombinu imepotea, gaidi kapata hasara mara 💯.Binafsi nimesikitishwa sana na ushahidi unaotolewa na IDF kuhusu uwepo wa operation za Hamas ndani ya Al Shifa hospital labda tusubiri tuone maana wamesema bado wanaendelea kuikagua ila mpaka muda huu nilichokitegemea sicho nilichokiona, msema kweli mpenz wa Mungu (kwa sauti ya Late Magufuri)