Wewe tulia, makamanda wenu wanasakwa humo wanakioshi kama panyabuku.
Subiria hati ya kukamatwa kama kama kibaka mmwingine mwizi was kulu tu ndugu:
https://edition.cnn.com/2023/11/17/middleeast/israel-gaza-war-crimes-icc-referral/index.html
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tulia, makamanda wenu wanasakwa humo wanakioshi kama panyabuku.
Subiria hati ya kukamatwa kama kama kibaka mmwingine mwizi was kulu tu ndugu:
https://edition.cnn.com/2023/11/17/middleeast/israel-gaza-war-crimes-icc-referral/index.html
Ni mjinga tu anayedhani Palestinian uprising itaisha kisa uvamizi...... watakuja revenge and it'll be brutal.Hati sio tatizo kwa sasa, kimsingi ni mtiwe adabu msifanye huo ujinga siku nyingine, binafsi hadi hapo naomba Israel waache sasa ila jamaa ndio kama wanaongeza mzuka wa kupiga.
Magaidi ya hamas yanapelekewa kipondo cha haja huku yakitelekeza silaha zao. View attachment 2818017View attachment 2818018View attachment 2818019View attachment 2818020Ni mjinga tu anayedhani Palestinian uprising itaisha kisa uvamizi...... watakuja revenge and it'll be brutal.
Ni mjinga tu anayedhani Palestinian uprising itaisha kisa uvamizi...... watakuja revenge and it'll be brutal.
. View attachment 2818025View attachment 2818026View attachment 2818029View attachment 2818027View attachment 2818028View attachment 2818030Ni mjinga tu anayedhani Palestinian uprising itaisha kisa uvamizi...... watakuja revenge and it'll be brutal.
Wampige miti nani wakati jeshi lenyewe la mashoga ww kamanda wa kikosi kaolewa na mwanaume mwenzakeTena wayapige miti kabla hawajafanya au kuyatia kilema Ili yakienda ahela yakikabidhiwa mabikira 72 yashindwe kufanya chochote kitu
Ha ha haWapigania Allah mwenye mguu mmoja wapo confused.
Ha ha haKiongozi wao yupo Qatar anakula tigo za waarabu alafu anawaambia wenzake watazikuta 72 mbinguni
Sasa jukwaa la international umefata nini, si ubaki kwenye siasa na ccm yako?mi kidini ni mkristo ila sishabikii ujinga hata siku moja tuache unafiki watanzania ,tupambane navita inayotukabili,ujinga, umasikini na ulawiti hayo yasiyo tuhusu tuachane nayo
Achana nae mpuuzi huyo.Sasa ingefaa ukajikita kwenye majukwaa ya Siasa huko ili upambane vizuri na yanayotukabili kama Nchi.Ukija hapa kwa International forum utakutana na habari za Kimataifa maana ndiyo sehemu yake sahihi.
Wape mkund uone kama hawajakuzalisha mapachaW
Wampige miti nani wakati jeshi lenyewe la mashoga ww kamanda wa kikosi kaolewa na mwanaume mwenzake
Wanaokufa ni watoto zaidi ya elfu 5!!Magaidi ya hamas yanapelekewa kipondo cha haja huku yakitelekeza silaha zao. View attachment 2818017View attachment 2818018View attachment 2818019View attachment 2818020View attachment 2818021
Mbona Ottoman aliweza? Au Hitler aliweza? Ni suala la muda tu. Na hata Bible inatabiri kuwa wayahudi watatandikwa kabla Yesu hajarudi. So either way watafutwa! Watakaopona ni wale wataokiri tu.Ni mpumbavu tu mwenye elimu ya madrassa anadhani atakuja kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, huyo muarabu aliwaponza sana kwa hili tamko lake la kichuki chuki, kila mkijaribu mnapigwa mapigo ya kiwaki waki
Magaid wa Hamas hawa hapa.Magaidi ya hamas yanapelekewa kipondo cha haja huku yakitelekeza silaha zao. View attachment 2818017View attachment 2818018View attachment 2818019View attachment 2818020View attachment 2818021
Unawatofautishaje wapalestina na HAMAS? Acheni watu wafanye kazi, huruma ndio nini? nani kaanzisha vurugu, na wao hawataki vita iishe wanasema waliposhambulia ile october 7, walikuwa wamejiandaa kwa vita ya muda mrefu.Kule Palestina watu wanataabika sana, yafaa kuwaonea huruma, unakuta mtu kapoteza watoto wake wote kwa pigo moja
Mbona Ottoman aliweza? Au Hitler aliweza? Ni suala la muda tu. Na hata Bible inatabiri kuwa wayahudi watatandikwa kabla Yesu hajarudi. So either way watafutwa! Watakaopona ni wale wataokiri tu.
Wala hakuna anayetaka kuwafuta duniani tunachotaka wapishe ardhi ya Palestine mbona simple tu.Wewe unawaza kuhusu Hittler na Ottoman, ila umesahau 'mungu' wako mohammed alichinja sana Wayahudi wa Banu Qurayza lakini hakufaulu kuwafuta.
Hakuna mwenye uwezo wa kuwafuta, mtaendelea kuuawa kila mkijaribu.
Israel wameanzisha ugomvi kwa kuikalia palestina kimabavu miaka 75 sasa. Ni ajabu sana watu mnaongelea October 7 wakati mgogoro una miaka 75!! Nlichogundua humu wengi ushabiki tu lakini hamjui historia.nani kaanzisha vurugu