zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nyerere alimpiga kisa Amin alivamia mipaka ya Tanzania same thing alichofanya Hamas, kumpiga Israel sababu alivamia mipaka yake.Nyerere alipompiga Idd amini Uganda, watu walisema basi umeshinda muache, Nyerere alisema hapana aondoke na Uganda sitaki kumuona. Idd Amini aliondoka na akafia uhamishoni.
Cha ajabu unamuunga mkono Nyerere ila unaipinga Hamas wakati wote hao walikua na lengo la kulinda mipaka yao.