Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa

Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa

Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea.

IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding​

Military reveals tunnel entrance, weapons cache found in Shifa Hospital complex * Body of hostage Yehudit Weiss recovered in Gaza, brought back to Israel * IDF Gaza op toll hits 51​

mkuu marekani akisema hakosei

biden alisema jana intllj inaonesha wahun hamas wako pale ndani idf wakaingiza timu haha kuna ma dk na ma nurse walisema watakufa na wagonjwa unaambiwa wamekimbia hospt unajiuliza kwa nn ..si walisema watakufa na wagonjwa .....kile chumba kimekutwa na silaaha kilinifanya niogope sana usa aisee
 
Hapo hamchomoi, Allah ndiyo maana anaongopa sana na ndiyo maana pia alimdanganya Ibilisi (Ayat 15:39) kumbe yeye ndiye yule SHETANI MKUBWA mwenyewe.
Na ndiyo maana mwana wa Mfalme wa Saudia Mohamed Bin Salman ameamua kufanya mageuzi ya Imani za kiislam
Screenshot_20231117-131903.png

Screenshot_20231113-212823.png
 
Wewe ulikua umejificha kwenye handaki gani maana naona kama umechipuka ghafla....
Magaidi yenu yanafukuliwa humo kwenye handaki...

Kwani wewe ni huyu nesi wa mchongo aliyejaa vipodozi akijinasibu kuwa wa Al Shifa Hospitali?
 
Sasa ingefaa ukajikita kwenye majukwaa ya Siasa huko ili upambane vizuri na yanayotukabili kama Nchi.Ukija hapa kwa International forum utakutana na habari za Kimataifa maana ndiyo sehemu yake sahihi.
nikuulize kwanza huyo myahudi anakujua? maana akukalilisha ye ni taifa teule linalopendwa na mungu ,wengine masokwe tu,vipi nenda wakunyandue angalau uzae katoto ka kiyahudi utoke kwenye laana
 
Kwani wewe ni huyu nesi wa mchongo aliyejaa vipodozi akijinasibu kuwa wa Al Shifa Hospitali?

Niliwaambia mlichokoza mtu mbaya, Myahudi atawashikisha ukuta sana, hana huruma, makamanda wenu wanaliwa asiei hadi raha. Mngeendelea na kuchinja Wakristo ila mpite mbali kwa Myahudi.
Pia huwa naona mnamuogopa Mchina, huo uzombi wenu huwa hampeleki China, wale pia hawana huruma.
 
Mazayuni wanawadanganya na nyie mpo tu.

Unaambiwa Ghaza hakuna nyumba isiyokuwa na mlango wa kwenda kwenye mahandaki.
Sasa hapo uongo wao ni upi ikiwa wewe mwenyewe umekiri kila nyumba ina mlango wa handaki?
 
nikuulize kwanza huyo myahudi anakujua? maana akukalilisha ye ni taifa teule linalopendwa na mungu ,wengine masokwe tu,vipi nenda wakunyandue angalau uzae katoto ka kiyahudi utoke kwenye laana
Wewe unasubiri nini kwenda kwa waarabu kwa sababu nina uhakika hata jina una la kiarabu.
 
BREAKING: HAMAS TUNNEL “FOUND” BY ISRAEL IS A WATER RESERVOIR

This is why they didn't film 'inside' the tunnel.
 
Attachments

  • IMG_6343.jpeg
    IMG_6343.jpeg
    128.2 KB · Views: 3
  • IMG_6344.jpeg
    IMG_6344.jpeg
    84.9 KB · Views: 4
BREAKING: HAMAS TUNNEL “FOUND” BY ISRAEL IS A WATER RESERVOIR

This is why they didn't film 'inside' the tunnel.
Litakuja choko hapa likomae hapa na mdomo mchafu unaonuka likwambie kwamba hilo ni handaki /tunnels walipojificha Hamas
Naona siku hizi latrine pits zimekuwa mahandaki
Majitu mengi akili zero humu
 
Unajuaje wakati wewe uko tu hapo Keko Magurumbasi.
Nakushangaa kujidai ujanja halafu huelewi kuwa Ghaza chini ya ardhi, ina barabara za kilomita zaidi ya 400 na kila nyuma ina access ya kuzama kwenye mahandaki. Kwani wamesanza kupigwa leo na mabomu ya mazayuni?

"necessity is the mother of invention".

Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea.

IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding​

Military reveals tunnel entrance, weapons cache found in Shifa Hospital complex * Body of hostage Yehudit Weiss recovered in Gaza, brought back to Israel * IDF Gaza op toll hits 51​

Mlango uchwara umeishia wapi ndugu paroko?
 
Back
Top Bottom