Wa kwanza kuwaonea huruma walikuwa Hamas, lakini hawajali maisha ya watu, wanaamini wapalestina wakifa wanaenda peponi, wao wamejificha ardhini ili iwafikie lazima watu wafe wa kutosha.Kule Palestina watu wanataabika sana, yafaa kuwaonea huruma, unakuta mtu kapoteza watoto wake wote kwa pigo moja