Hatimaye jana uso kwa uso huyu Kicheche na cha moto kakipata

Povu la nini tena mkuu....[emoji12] [emoji12]
Yaani kicheche tu, ndioumekuja kuanzisha uzi.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Je ungeua hata fisi tu, siungefanya sherehe ya kujiona shujaa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mimi shujaa ata wewe ukiingia cha kike nakukojoza mshamba wewe..
 
Hongera umepata nyama pori ila mambo kama haya wanaume wa Dar,mnawapta point tatu nzima wanaume wa mikoani,yaani kicheche anakutisha hadi unamuita mshikaji wako akusaidie! Chaaa,eti vita ilikuwa kali! Wewe ,na kicheche? Sisi huku dogo tu wa shule ya msingi anapambana na simba dume,Khaaa!
 
Acha ushamba wewe kicheche huyu ni hatari sana, waaulize wajuvi wa mambo watakwambia.
 
Huhuhuhuh..!

Sasa kama angetaka vita iwe ya dunia aguse ubalozi wangu aone..![emoji137][emoji137][emoji137]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hata wa mkoani akirukiwa na kicheche kwenye Pumb..u ndio utajua kachumbari ni mboga au inasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…