Hatimaye jana uso kwa uso huyu Kicheche na cha moto kakipata

Hatimaye jana uso kwa uso huyu Kicheche na cha moto kakipata

Ha ha haaa,,mkuu usimuliaji wako umetisha snaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Umenikumbusha week iliyopita aisee kuna kicheche nilitaka kumuua aliunguruma kama simba nikambia nikajua labda utakuwa uchawi sio kwa mlio ule halafu akawa kama ananifuata hivi hizo nduki sio za tz nilizozitoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa kakukosea nini kweli Miafrika na wazungu ni tofauti yaani
 
Umenikumbusha week iliyopita aisee kuna kicheche nilitaka kumuua aliunguruma kama simba nikambia nikajua labda utakuwa uchawi sio kwa mlio ule halafu akawa kama ananifuata hivi hizo nduki sio za tz nilizozitoa
utaweza kuua simba kweli ww mwansume wa dar?
 
Hongera Mkuu. Pia, shukuru huyo kicheche hajakudhuru. Huwa ana tabia ya kurukia naniliu. Mkuu, kicheche huweza kuishi popote panapopatikana chakula chake. Kwakuwa alikuwa akichukua vifaranga, atakuwa na watoto mahali. Angekuwa mwenyewe tu, angebeba hata kuku wakubwa.
Nadhani umemfananisha na Nyegere Mkuu! Nyegere ndo mwenye tabia hizo....na haogopi.
 
Kwahiyo yeye kuuwa watoto wa mama kuku na kumwachia majonzi ndiyo haki za wanyama eti..???mama kuku mwenyewe alikuwagrabed nikamwokoa[emoji276][emoji276][emoji276]
Acha nature ifanye kazi
 
Nguchiro kwanza hawali kuku, ni waoga mno na huwa wanatembea kwa makundi, hawa hapa chini[emoji116][emoji116]View attachment 623530View attachment 623531
Huyu ni tofauti kabisa[emoji116][emoji116]View attachment 623532
Huyu kicheche mkuu ingawa vicheche nao wanaspicies nyingi.
Ndio huyo sio nguchiro huyo huku kwetu tunamwita gandamweli wao wanatemibea sana usiku na wanaishi kwenye vichuguu na niwakali sana tofauti vicheche wengine na ukitaka kujua mbwa wako ni mkali au ni bwege mpambanishe na huyo noma sana
 
Mkuu kweli unamuelewa ni mkali sana, huyu kicheche ni hatari mno, anaua haraka sana, binafsi sikuamini kama nimemua kirahisi hivyo ilikuwa timing sana..!
 
Vicheche nuksi sana... Ila kuna yule mwingine anakamata anachinja hlf ananyonya damu tu , hali nyama hata kidogo... sijui anaitwaje
Ndiyo huyu mkuu, siku moja nilikuta ameua viranga 8 na akula ata kifaranga mmoja.
 
Back
Top Bottom