Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenikumbusha week iliyopita aisee kuna kicheche nilitaka kumuua aliunguruma kama simba nikambia nikajua labda utakuwa uchawi sio kwa mlio ule halafu akawa kama ananifuata hivi hizo nduki sio za tz nilizozitoa
utaweza kuua simba kweli ww mwansume wa dar?Umenikumbusha week iliyopita aisee kuna kicheche nilitaka kumuua aliunguruma kama simba nikambia nikajua labda utakuwa uchawi sio kwa mlio ule halafu akawa kama ananifuata hivi hizo nduki sio za tz nilizozitoa
Nadhani umemfananisha na Nyegere Mkuu! Nyegere ndo mwenye tabia hizo....na haogopi.Hongera Mkuu. Pia, shukuru huyo kicheche hajakudhuru. Huwa ana tabia ya kurukia naniliu. Mkuu, kicheche huweza kuishi popote panapopatikana chakula chake. Kwakuwa alikuwa akichukua vifaranga, atakuwa na watoto mahali. Angekuwa mwenyewe tu, angebeba hata kuku wakubwa.
Sasa kakukosea nini kweli Miafrika na wazungu ni tofauti yaani
Hata kichecheNadhani umemfananisha na Nyegere Mkuu! Nyegere ndo mwenye tabia hizo....na haogopi.
Mm kila nikimuona kicheche naona anawakimbia Binadamu.Hata kicheche
Bora aliyeua kicheche kuna watu hata panya hawezi kuua,kweli mwanaume wa Dar yaani kuua kicheche unaleta thread JF?? Wengine huku Mara Tunaua Mamba na viboko
Kicheche ni kama paka. Ni hadi 'umtight'Mm kila nikimuona kicheche naona anawakimbia Binadamu.
Acha nature ifanye kaziKwahiyo yeye kuuwa watoto wa mama kuku na kumwachia majonzi ndiyo haki za wanyama eti..???mama kuku mwenyewe alikuwagrabed nikamwokoa[emoji276][emoji276][emoji276]
Ndio huyo sio nguchiro huyo huku kwetu tunamwita gandamweli wao wanatemibea sana usiku na wanaishi kwenye vichuguu na niwakali sana tofauti vicheche wengine na ukitaka kujua mbwa wako ni mkali au ni bwege mpambanishe na huyo noma sanaNguchiro kwanza hawali kuku, ni waoga mno na huwa wanatembea kwa makundi, hawa hapa chini[emoji116][emoji116]View attachment 623530View attachment 623531
Huyu ni tofauti kabisa[emoji116][emoji116]View attachment 623532
Huyu kicheche mkuu ingawa vicheche nao wanaspicies nyingi.
Mkuu kweli unamuelewa ni mkali sana, huyu kicheche ni hatari mno, anaua haraka sana, binafsi sikuamini kama nimemua kirahisi hivyo ilikuwa timing sana..!Ndio huyo sio nguchiro huyo huku kwetu tunamwita gandamweli wao wanatemibea sana usiku na wanaishi kwenye vichuguu na niwakali sana tofauti vicheche wengine na ukitaka kujua mbwa wako ni mkali au ni bwege mpambanishe na huyo noma sana