Hatimaye jaribio la Trump kuiondoa China kwenye mfereji wa Panama limefeli

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Ikumbukwe kuwa mwezi March Trump alitamba kuwa Suez Canal itakuwa chini ya control ya Marekani:​

"China inaendesha Mfereji wa Panama, na hatukuipa China - tuliipa Panama - na tunaurudisha."
– Trump (March, 2025)
​

Hapo Trump alikuwa anazungumzia bandari 2 muhimu zinazomilikwa na kampuni ya Hutchison's inayomilikiwa na bilionea Li Kashing wa Hong Kong.​
  • Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana kimkakati (strategic infrastructure) kibiashara na kiusalama kwa sababu ni kama gateway kati ya bahari ya Atlantic na Pacific.
    ​
  • Na ziko "one at each end of canal" unapoingia na kutoka. Ni moja ya checkpoint muhimu sana kwenye global maritime trade (5% of global container trade volume hupita hapo.​

Uongozi wa Trump uliituma kampuni ya Kimarekani BlackRock inunue bandari hizo ili Marekani iwe na full control ya mfereji wa Suez. Ilibaki kidogo kampuni ya Hutchison's ikubali deal hilo.

Serikali ya China ikaingilia kati na kuionya kampuni hiyo ya bilionea wa Hong Kong isithubutu kuiuzia BlackRock bandari hizo.

Hatimaye Jumatatu 27th July 2025 CK Hutchison imetangaza rasmi kwamba muda wa mazungumzo ya kibiashara na BlackRock umekwisha na hawataendelea na mpango huo.

CK Hutchson's imesema itaialika kampuni ya China COSCO kama mwekezaji mkuu kwenye umiliki wa bandari hiyo.

Kufikia hapa sio tu kwamba Trump ameshindwa kuchukua bandari hizo muhimu zilizo mfereji wa Panama, bali kwa sasa China ime-gain greater control of Suez Canal. Hii ni aibu kwa Trump.

Kampuni inayomilikiwa na serikali ya China COSCO itakuwa na udhibiti wa bandari hizo 2 za kimkakati huku Hutchson's ikibaki kama kivuli tu.

China sio kama EU, na Xi sio kama viongozi waoga wa Ulaya anaowapelekesha anavyotaka.

Another Trump foreign policy victory becomes China's strategic gain. So much winning!
​

CREDIT: Fox News
 
Wakati Marekani ikiteketeza billions of dollars za walipa kodi wake kujenga Military bases across the world

China inatumia vizuri kodi za wananchi wake kuwekeza kwenye bandari duniani.
​

merics-china-belt-and-road-2023-chinas-footprint-and-influence-across-global-ports-is-extensive.png

https___cms-image-bucket-production-ap-northeast-1-a7d2.s3.ap-northeast-1.amazonaws.com_image...jpeg
 
Ikumbukwe kuwa mwezi March Trump alitamba kuwa Suez Canal itakuwa chini ya control ya Marekani:​

"China inaendesha Mfereji wa Panama, na hatukuipa China - tuliipa Panama - na tunairudisha."
Trump (March, 2025)
​

Hapo Trump alikuwa anazungumzia bandari 2 muhimu zinazomilikwa na kampuni ya Hutchison's inayomilikiwa na bilionea Li Kashing wa Hong Kong.​
  • Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana kimkakati (strategic infrastructure) kibiashara na kiusalama kwa sababu ni kama gateway kati ya bahari ya Atlantic na Pacific.​
  • Na ziko "one at each end of canal" unapoingia na kutoka. Ni moja ya checkpoint muhimu sana kwenye global maritime trade (5% of global container trade volume hupita hapo.​

Uongozi wa Trump uliituma kampuni ya Kimarekani BlackRock inunue bandari hizo ili Marekani iwe na full control ya mfereji wa Suez. Ilibaki kidogo kampuni ya Hutchison's ikubali deal hilo.

Serikali ya China ikaingilia kati na kuionya kampuni hiyo ya bilionea wa Hong Kong isithubutu kuiuzia BlackRock bandari hizo.

Hatimaye Jumatatu 27th July 2025 CK Hutchison imetangaza rasmi kwamba muda wa mazungumzo ya kibiashara na BlackRock umekwisha na hawataendelea na mpango huo.

CK Hutchson's imesema itaialika kampuni ya China COSCO kama mwekezaji mkuu kwenye umiliki wa bandari hiyo.

Kufikia hapa sio tu kwamba Trump ameshindwa kuchukua bandari hizo muhimu zilizo mfereji wa Panama, bali kwa sasa China ime-gain greater control of Suez Canal. Hii ni aibu kwa Trump.

Kampuni inayomilikiwa na serikali ya China COSCO itakuwa na udhibiti wa bandari hizo 2 za kimkakati huku Hutchson's ikibaki kama kivuli tu.

China sio kama EU, and Xi sio kama viongozi waoga wa Ulaya.

Another Trump foreign policy victory becomes China's strategic gain. So much winning!
​

CREDIT: Fox News
safi sana
 
Trump he has something to offer maana alishawahi kuwa hapo miaka 4 iliyopita na hakuna chochote alicho kifanya ili kuweza kuidhibiti China na Russia hayo mengine ni mbwembwe tu , Au tunaweza kusema wajinga ndio wali wao
Trump alianza trade war dhidi ya China mwaka 2018 alipokuwa raisi akafeli. Akaja Biden naye akafeli sasa hivi karudi tena bado anafeli kuiangusha China

Ukisoma posts zake anazoandika dhidi ya China na Russia unaweza kusema Marekani ina uwezo wa kuyaangusha mataifa hayo kiuchumi lakini hamna lolote mbwembee tu.

Trump ni keyboard warrior.
​
 
Trump alidhani mambo ni rahisi hivyo labda wafanye figisu coups itokee Panama
Coups ilikuwa silaha yake miaka ya 1970

Alitengeneza mapinduzi mengi ya kijeshi hapo Latin America ili aweke viongozi wake vibaraka.

Ila kwa sasa hawezi na wameshamshtukia.

Angalia Venezuela kila akijaribu kufanya coups kumuondoa Maduro anafeli
​
 
Bado sijaona sehemu ilipoonyesha CK HUTCHINSON imewauzia COSCO hisa zake, naona bado wana mazungumzo huku wewe umeshakimbilia Trump ameshindwa
 
Trump alianza trade war dhidi ya China mwaka 2018 alipokuwa raisi akafeli. Akaja Biden naye akafeli sasa hivi karudi tena bado anafeli kuiangusha China

Ukisoma posts zake anazoandika dhidi ya China na Russia unaweza kusema Marekani ina uwezo wa kuyaangusha mataifa hayo kiuchumi lakini hamna lolote mbwembee tu.

Trump ni keyboard warrior.
​
Miaka 3 iliyobaki trump atakuwa hajafanya lolote . Hajui ashike lipi
 
Trump alianza trade war dhidi ya China mwaka 2018 alipokuwa raisi akafeli. Akaja Biden naye akafeli sasa hivi karudi tena bado anafeli kuiangusha China

Ukisoma posts zake anazoandika dhidi ya China na Russia unaweza kusema Marekani ina uwezo wa kuyaangusha mataifa hayo kiuchumi lakini hamna lolote mbwembee tu.

Trump ni keyboard warrior.
​
Trump domo domo tu kama Bw Mengele!
 
Back
Top Bottom