The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,080
Mkuu hoja yako haina mashiko. Mwenyewe military base ndio mwenye nguvu kwa sababu any time atakutimua.Wakati Marekani ikiteketeza billions of dollars za walipa kodi wake kujenga Military bases across the world
China inatumia vizuri kodi za wananchi wake kuwekeza kwenye bandari duniani.
View attachment 3424281
View attachment 3424284
Mfano, Djibouti Marekani ana Military base na china anaendesha bandari, siku Marekani akiamua kupindua serikali na wewe unamiliki bandari nani atapoteza na nani atafaidika, obvious ni mwenye bunduki.
Ukiwa na Military power unakua na hadi political infuence maana yake wewe ndio mwenye mbwa.