Mkuu hoja yako haina mashiko. Mwenyewe military base ndio mwenye nguvu kwa sababu any time atakutimua.
Mfano, Djibouti Marekani ana Military base na china anaendesha bandari, siku Marekani akiamua kupindua serikali na wewe unamiliki bandari nani atapoteza na nani atafaidika, obvious ni mwenye bunduki.
Ukiwa na Military power unakua na hadi political infuence maana yake wewe ndio mwenye mbwa.