Hatimaye Job Ndugai arejea Bungeni leo Aprili 13, 2022

Hatimaye Job Ndugai arejea Bungeni leo Aprili 13, 2022

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
FQM8zwwWUAMVR4I.jpg

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani.

Chanzo: TBC online
 
Sasa anayo nafasi nzuri ya kuwatetea wana Kongwa
 
Nitashukuru kama ataendelea kuelekea kwenye hii njia sahihi aliyoanza kwenda nayo, baada ya kupotoka na kwenda kwenye njia potofu kwa muda mrefu sana..., Hii njia ya kuisimamia Serikali, Kama tutaamka siku moja tukutwe tumeshauzwa ni vema tupate mtu wa kuongea...

Ndugai yule aliyefukuzwa (akufukuzae hakwambii toka) kwa kosa ambalo halikuwa kosa ndio anahitajika kwa mustakabali sahihi wa taifa..., sio ndugai yule the rubber stamper wa serikali (kazi ambayo mrithi wake naona anaifanya ipasavyo) kuitetea serikali na sio kuisimamia
 
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani.

Chanzo: TBC online
Aje sasa ajenge hoja kwamba mama anaupiga mwingi atake asitake ataendelea kutawala hadi atakaposema basi. dah ila pesa c mchezo aisee aliposikia tu afutwe ubunge kwenye mitandao,jamaa kaibuka fasta kuwahi siti
 
Back
Top Bottom