Hatimaye Job Ndugai arejea Bungeni leo Aprili 13, 2022

Hatimaye Job Ndugai arejea Bungeni leo Aprili 13, 2022

ameonyesha ukomavu sana.
Spika mstaafu.
Daima tutamkumbuka kwa kazi nzuri.
 
Hatimaye, sasa tunasubiri mchango wake kupeleka maendeleo jimboni kwake kongwa - jimbo ambalo lipo hoi kimaendeleo.

View attachment 2185985
Tupo kwenye karne ya 21 lakini bado kuna sehemu watanzania ndani ya miaka 60 ya uhuru wagombea maji ya kunywa.

Watanzania tuone aibu!!
 
Hivi wabunge kumpokea kwa kushangilia kwa makofi vile inamaana gani?Je Job nishujaa ktk lile alilolizua ama unafiki tu
 
Shujaaa Job kama job wa kwenye bible


USSR

Shujaa analia anaomba msamaha? Tena kwa kukiri Mara tatu. Kujifanya mkali kwa wapinzani, kumbe Hana lolote mwepesi Sana.
 

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani.

Chanzo: TBC online

Makelele ya kumwulizia yanaweza kuwa yamesaidia huyu bwana kuonekana hadharani.

Bado kina Ben, Azory, Lijenje na wote waliopotezwa.

Kazi na iendelee.
 
Back
Top Bottom