Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wamemfanya nini mbona anakaa kwa shida 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anawapiga majungu watumishi na hasa Tarura kwamba wanamsidi mshahara mkewe ambae ni DED 😆😆😆Huyo mzee ana majungu sana huyo
Yesu ni Bwana
Pesa huwa hazitoshi siku zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ampige marufuku sasa Zitto kuongea hadi bunge liishe.. Yaani tumepita pagumu sana.Aona aibu kuangalia camera, sasa hapo anajadili nini kama sio kujikosha tu.
Kuna umbali mrefu kidogo kutoka kwenye viti vya wabunge mpaka sehemu zenye camera hvy sio rahisi mbunge kujua anapigwa picha (lbl awe anaongea) kwahy hapo hakuna aibu yoyote anayoiona kuogopa kuangalia camera.Aona aibu kuangalia camera, sasa hapo anajadili nini kama sio kujikosha tu.
Mkuu huyu ni sawa na spika kasoro 20% tu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁dah ila pesa c mchezo aisee aliposikia tu afutwe ubunge kwenye mitandao,jamaa kaibuka fasta kuwahi siti
Ndio siasa za Tanzania mkuu!"Nimekosa mimi, nimekosa sana"! Halafu akaishia tu kuchambwa! Yaani Job hamnazo kabisa.
Shujaaa Job kama job wa kwenye bible
USSR
Ni jambo jema.
Nimeona jina lake pale Anglican church akiwa ni miongoni mwa Mitume 12 watakaotawazwa kesho kwenye Ibada ya Alhamis ya Amri!
Nimekosa miye, nimekosa mimi..
Wamemfanya nini mbona anakaa kwa shida [emoji23]
Ndugai kwa Sasa ni lulu kwa Tanganyika. Tusimkatishe tamaa tunamhitaji sana kwa mazingira ya Sasa!! Tumtie moyo aitetee Tanganyika ambayo ni kama yatima kwa Sasa!