ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Nduga ni mtume.......!!Ni jambo jema.
Nimeona jina lake pale Anglican church akiwa ni miongoni mwa Mitume 12 watakaotawazwa kesho kwenye Ibada ya Alhamis ya Amri!
ama mitume ikoje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nduga ni mtume.......!!Ni jambo jema.
Nimeona jina lake pale Anglican church akiwa ni miongoni mwa Mitume 12 watakaotawazwa kesho kwenye Ibada ya Alhamis ya Amri!
Ndo muda mwafaka wa kumjua zaidi kwa bwebwe zake
Nduga ni mtume.......!!
ama mitume ikoje!
Ndugai kumbe ni mtume..Ni jambo jema.
Nimeona jina lake pale Anglican church akiwa ni miongoni mwa Mitume 12 watakaotawazwa kesho kwenye Ibada ya Alhamis ya Amri!
Alishafika Nazareti huyo!Huyo mzee ana majungu sana huyo
Yesu ni Bwana
Anakaa kama huyu hapa?Wamemfanya nini mbona anakaa kwa shida [emoji23]
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani.
Chanzo: TBC online
Sasa hivi hayuko chini ya kifungo cha nyumbani kama mlivyokuwa mnasema?Maisha yake yanafikia mwishomwisho lema`s prophesy is knocking the door [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Ndugai kalipwa nini?Tukanyage kwa adabu Ardhi ya Muumba . Malipo ni hapahapa chini ya jua.
Mabavicha yanaona aibu na hasira maana yalisema yuko kifungo cha nyumbani, mara anaumwa yuko india
Hiinndio point ya muhimu mtu unakila kitu na posho juu nzuri kasoro cheo ya Kaz gani wkt nimeshatumikia cheo hcho aise mm sioni sababu ya kumcheka ndugai Tena ukimtizama Ana nuru kbsaBack in a house once again,vumilia tu mjomba,watasema sana mwisho watanyamaza,cha muhimu wewe unaendelea kuzichakata posho kwa raha zako...
Inabidi awaombe radhi wabunge.Kumbukizi murua kabisa .
'Pambana na kitu kingine siyo Ndugai'
By Jobo From Tozo Nia.View attachment 2185855