Hatimaye Job Ndugai arejea Bungeni leo Aprili 13, 2022

Ndugai kwa Sasa ni lulu kwa Tanganyika. Tusimkatishe tamaa tunamhitaji sana kwa mazingira ya Sasa!! Tumtie moyo aitetee Tanganyika ambayo ni kama yatima kwa Sasa!
 
Mgonjwa mgonjwa tu atakua mtu wakukaa kimya kabisa hapendi kutibiwa kwa urahisi India alikokua
 
Aona aibu kuangalia camera, sasa hapo anajadili nini kama sio kujikosha tu.
Kuna umbali mrefu kidogo kutoka kwenye viti vya wabunge mpaka sehemu zenye camera hvy sio rahisi mbunge kujua anapigwa picha (lbl awe anaongea) kwahy hapo hakuna aibu yoyote anayoiona kuogopa kuangalia camera.
 
dah ila pesa c mchezo aisee aliposikia tu afutwe ubunge kwenye mitandao,jamaa kaibuka fasta kuwahi siti
Mkuu huyu ni sawa na spika kasoro 20% tu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Ulimi,ulimi, nomaa!! Kiungo kidogo sana! Tizama dhahma kiliosababisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…