Endelea kuota.Wakati harakati hizi zinaanza inawezekana kabisa huyu alikuwa hajazaliwa, watazaliwa wengine wengi kama yeye, Suluhu ya hapo Gaza na mashariki ya kati haiki kwenye mtutu..
Israeli akikaza shingo, hakuna siku ataishi kwa amani hapo mpaka mwisho wa Dunia.
Hao Palestina hawawezi kuwa wanyonge tu siku zote, IPO siku watakuja kuwa na nguvu nao kuleta maafa makubwa Israeli.
kitu kinachofanya mambo yawe magumu kwa israeli ni kufikiri kila wanayemuua ni kamanda mkuu kwa Hamas,kumbe wanaua wagambo tuKamanda mkuu wa Hamas Hamada Abu Daqa, ambaye alihusika katika utekaji nyara wa askari wa IDF wakati wa shambulio la Oktoba 7, aliantami zwą katika shambulio la anga la IDF huko Bani Suheila. Katika picha za siku hiyo, anaonekana akiwa na silaha na amevalia mavazi ya kiraia karibu na kitary muda mfupi baada ya Ubakaji,utekaji nyara na mauaji ya kutisha!!!
View attachment 3292272
Hata Haniyeh, Sinwar wote walikuwa ni mgambo tu basi kama ni hivyo watakuwa hawana viongozi hao magaidi wenu.kitu kinachofanya mambo yawe magumu kwa israeli ni kufikiri kila wanayemuua ni kamanda mkuu kwa Hamas,kumbe wanaua wagambo tu
Kumbe ni wagambo tuu hata thamani hawana. Acha ayafyekelee mbali wabaki makamanda tuu.kitu kinachofanya mambo yawe magumu kwa israeli ni kufikiri kila wanayemuua ni kamanda mkuu kwa Hamas,kumbe wanaua wagambo tu
Wakati hao hamas wanazaliwa wapya kwanin wayahud watakuwa tasa mkuu? Usisahau hawa ni wajukuu wanapambana na usiwe ukikariri kila kitu kina mwisho wakati mwingine mwisho wa kitu unaweza kuwa ndio mwisho wako weweWakati harakati hizi zinaanza inawezekana kabisa huyu alikuwa hajazaliwa, watazaliwa wengine wengi kama yeye, Suluhu ya hapo Gaza na mashariki ya kati haiki kwenye mtutu..
Israeli akikaza shingo, hakuna siku ataishi kwa amani hapo mpaka mwisho wa Dunia.
Hao Palestina hawawezi kuwa wanyonge tu siku zote, IPO siku watakuja kuwa na nguvu nao kuleta maafa makubwa Israeli.
Wakati hao hamas wanazaliwa wapya kwanin wayahud watakuwa tasa mkuu? Usisahau hawa ni wajukuu wanapambana na usiwe ukikariri kila kitu kina mwisho wakati mwingine mwisho wa kitu unaweza kuwa ndio mwisho wako wewe
Jews yupo tayar kufa kuliko mwarabu mkuu. Na ndio maana amesurvive hadi muda huuNi kweli mkuu hata wao Wayahudi watakuwa wanazaliana, lakini kwasasa anayehitaji amani na utulivu Kwa kiasi kikubwa na mwenye cha kupoteza ni Israeli, hao wapalestina wameshafika mwisho.
Ukiwa na jirani msumbufu aliyejikatia tamaa, mateso utayapata wewe unayetaka utulivu.
Imeandikwa ukialikwa harusini usiketi viti vya mbele, asije akaja mkuu wa sherehe akakurudisha nyuma kwa kuambiwa hapo si kwako, ametengewa mkubwa kuliko wewe.Hii vita inatesa sn watu, inauma sn watoto, Leo Israel wamepiga shule, hakuna dawa, wanalazimishwa kuhama makao (Gaza) hawajui wanaenda wap, hawana mtetezi. Hakika inauzunisha sn ukiangali aljazeera,
Mungu hayupo upande wa kuruhusu haya yawapate watoto wadogo wasio na hatia.
Me kwan nimemchagulia upande Mkuu? Au ww umeelewajeImeandikwa ukialikwa harusini usiketi viti vya mbele, asije akaja mkuu wa sherehe akakurudisha nyuma kwa kuambiwa hapo si kwako, ametengewa mkubwa kuliko wewe.
Unataka Mungu akae upande unaotaka wewe?