Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Ndogo?
Ndogo kwa kulinganisha na ukubwa gani?
Ndogo kwa makazi au miundo mbinu ya kijeshi?
Msichokielewa hapo Gaza, IDF hapigani vita na askari waliovalia sare na kuwa kwenye uwanja wa mapambano. Hi vita ni sawa na msako wa polisi kwa wavuta bangi au mateja au majambazi. Yamevaa kiraia na yamechangamana na raia. Ni vita ya kiintelijensia zaidi vinginevyo IDF itaua kila raia.
Umesoma yote lakini umeruka neno "sleeper cell" za Israel