Ndio ilivyo siku zote pale ukweli unapokua mchungu, mimi nimelinganisha which is which,Nafikiri hakuna anayejipangia aje vipi duniani na pia atokeje duniani ila yupo anayepanga yote hayo kwa kadri inavyo mpendezea.
Nafikiri haihitaji akili nyingi kulifahamu hilo hivyo hata wewe kaa tu ukijua kwamba hujui utatoka lini na kwa staili gani katika dunia hii kwa sababu hukujileta mwenyewe.
Take care.
Lakini pia huo Mtazamo wako pia ni weak kama sio wa ki puuzi, ndio maana waislamu tu nahimizwa kuomba mwisho mwema
Kwahyo wewe mkuu ukiwa mwizi, mzinifu amekupangia MUNGU??,
hii ni akili ya ki pumbavu