Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,186
- 27,366
ila hawa watakaozaliwa watajikuta ni wazaliwa wa Misri au Somaliland, sio GazaWakati harakati hizi zinaanza inawezekana kabisa huyu alikuwa hajazaliwa, watazaliwa wengine wengi kama yeye, Suluhu ya hapo Gaza na mashariki ya kati haiki kwenye mtutu..
Israeli akikaza shingo, hakuna siku ataishi kwa amani hapo mpaka mwisho wa Dunia.
Hao Palestina hawawezi kuwa wanyonge tu siku zote, IPO siku watakuja kuwa na nguvu nao kuleta maafa makubwa Israeli.