ila hawa watakaozaliwa watajikuta ni wazaliwa wa Misri au Somaliland, sio GazaWakati harakati hizi zinaanza inawezekana kabisa huyu alikuwa hajazaliwa, watazaliwa wengine wengi kama yeye, Suluhu ya hapo Gaza na mashariki ya kati haiki kwenye mtutu..
Israeli akikaza shingo, hakuna siku ataishi kwa amani hapo mpaka mwisho wa Dunia.
Hao Palestina hawawezi kuwa wanyonge tu siku zote, IPO siku watakuja kuwa na nguvu nao kuleta maafa makubwa Israeli.
Usifikiri wayahudi ni wajinga kama Iran walioshambulia Israel wakaua mpalestina mvamizi mmoja huo ulikuwa ujinga na upumbavu kijeshi. Wayahudi wanatoa data za kila mtu mkubwa na ndiyo maana hata Ismail Hanniyeh walimdaba katikati ya Tehran kwenye ulinzi mkali!!!!kitu kinachofanya mambo yawe magumu kwa israeli ni kufikiri kila wanayemuua ni kamanda mkuu kwa Hamas,kumbe wanaua wagambo tu
Ni majinga sanaWenyewe wanakuambia kafa kifo Cha mashahidi wa Allah😂😂😂
Jeshi linalopewa sifa ya kuwa ndio bora duniani limeshindwa kufanya hivyo ni karibu mwaka wa pili sasa. Hakuna walichofanikisha Gaza zaidi ya kuua watoto, wamama na wazeze.Gaza nii ndogo sana, ni rahisi kuwakamata wahusika wote ukichukulia pia Israel wana sleeper cell upande wa Palestine...
Mkuu, kuna siku watakuja kuwa na nini? ........nguvu!!!Wakati harakati hizi zinaanza inawezekana kabisa huyu alikuwa hajazaliwa, watazaliwa wengine wengi kama yeye, Suluhu ya hapo Gaza na mashariki ya kati haiki kwenye mtutu..
Israeli akikaza shingo, hakuna siku ataishi kwa amani hapo mpaka mwisho wa Dunia.
Hao Palestina hawawezi kuwa wanyonge tu siku zote, IPO siku watakuja kuwa na nguvu nao kuleta maafa makubwa Israeli.
Hamas cannot be eliminated, which is why they kill many children—Israel believes they are the future Hamas.
Are you siriaz?Jeshi linalopewa sifa ya kuwa ndio bora duniani limeshindwa kufanya hivyo ni karibu mwaka wa pili sasa. Hakuna walichofanikisha Gaza zaidi ya kuua watoto, wamama na wazeze.
Endelea kulialia tuWakati harakati hizi zinaanza inawezekana kabisa huyu alikuwa hajazaliwa, watazaliwa wengine wengi kama yeye, Suluhu ya hapo Gaza na mashariki ya kati haiki kwenye mtutu..
Israeli akikaza shingo, hakuna siku ataishi kwa amani hapo mpaka mwisho wa Dunia.
Hao Palestina hawawezi kuwa wanyonge tu siku zote, IPO siku watakuja kuwa na nguvu nao kuleta maafa makubwa Israeli.
Hujui unachoandikaAre you siriaz?
Katembelee Gaza urudi kupitia post yako
Ndogo?Gaza nii ndogo sana, ni rahisi kuwakamata wahusika wote ukichukulia pia Israel wana sleeper cell upande wa Palestine...
Bado hujui nilichoandika.Hujui unachoandika
Usinipotezee muda mkuu hebu fata mambo yako.Bado hujui nilichoandika.
Siuhitaji huo muda wako. Uchukue uende nao😂Usinipotezee muda mkuu hebu fata mambo yako.
............ Kumbuka hata hapo jirani tu Congo pia kuna watu wanakufa japo watu kwa unafiki wanajifanya hawaoni ila wanaona ya wapalestina tu walioko maelfu ya kilomita utafikiri Congo wenyewe sio binadamu...😧😧😧Hii vita inatesa sn watu, inauma sn watoto, Leo Israel wamepiga shule, hakuna dawa, wanalazimishwa kuhama makao (Gaza) hawajui wanaenda wap, hawana mtetezi. Hakika inauzunisha sn ukiangali aljazeera,
Mungu hayupo upande wa kuruhusu haya yawapate watoto wadogo wasio na hatia.
Unadhani hawana majina yao? Hawaui kwa kubahatisha, wanawajua kwa majina, sura na uwezo wao kijeshi; changamoto huaga ni kujua wapi wamejificha. Mashirika yote ya intelligence huaga yanajua nguvu ya adui unaepambana nae, hata TISS wetu bongo wanajua hilo, police wetu pia. Matukio makubwa ya kihalifu yakitokea say Tanzania, usidhani police huaga hawana tips, wanajua, na wanaweza ku predict kwamba, aina hi ya ujambazi imefanywa na nani? Kazi hua ni kumtafuta mahali alipojificha. Mossaid na IDF ni zaidi, wameishi na Wapalestina over 80 years, they know each otherkitu kinachofanya mambo yawe magumu kwa israeli ni kufikiri kila wanayemuua ni kamanda mkuu kwa Hamas,kumbe wanaua wagambo tu