Ndogo?
Ndogo kwa kulinganisha na ukubwa gani?
Ndogo kwa makazi au miundo mbinu ya kijeshi?
Msichokielewa hapo Gaza, IDF hapigani vita na askari waliovalia sare na kuwa kwenye uwanja wa mapambano. Hi vita ni sawa na msako wa polisi kwa wavuta bangi au mateja au majambazi. Yamevaa kiraia na yamechangamana na raia. Ni vita ya kiintelijensia zaidi vinginevyo IDF itaua kila raia.
Hapana, hilo sikutaka kulisomaUmesoma yote lakini umeruka neno "sleeper cell" za Israel
Anza kwa kuishtukia uliyo nayo....Mungu yu wapi kuwaokoa watu wake?? Wamekosa Nini hawa waparestina au Wana nn kizuri hawa waisrael? Watoto wasiokuwa na hatua,wazee wanaangamia bila hatia yeyote kwani Mungu akileta amani dunniani kipi atapungukiwa?
Ifike hatua tushtukie Imani hizi
Hujui kinachoendelea mkuuAnza kwa kuishtukia uliyo nayo....
Najua, Mungu hutoa kile ulichochaguaHujui kinachoendelea mkuu
Wakati wanauwawa Wanawake na watoto wanaume walikuwa wapi? Wanawake na watoto ndiyo imeshakuwa kisingizio ili wasibutuliwe? Nashukuru Israel haiangalii makunyanzi inapiga kotekote mpaka kieleweke!!Jeshi linalopewa sifa ya kuwa ndio bora duniani limeshindwa kufanya hivyo ni karibu mwaka wa pili sasa. Hakuna walichofanikisha Gaza zaidi ya kuua watoto, wamama na wazeze.
Acha kudharau imani za watu mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wenyewe wanakuambia kafa kifo Cha mashahidi wa Allah😂😂😂
Wakati wanauwawa Wanawake na watoto wanaume walikuwa wapi? Wanawake na watoto ndiyo imeshakuwa kisingizio ili wasibutuliwe? Nashukuru Israel haiangalii makunyanzi inapiga kotekote mpaka kieleweke!!Jeshi linalopewa sifa ya kuwa ndio bora duniani limeshindwa kufanya hivyo ni karibu mwaka wa pili sasa. Hakuna walichofanikisha Gaza zaidi ya kuua watoto, wamama na wazeze.
Shida ndio ipo hapo.Wakati wanauwawa Wanawake na watoto wanaume walikuwa wapi? Wanawake na watoto ndiyo imeshakuwa kisingizio ili wasibutuliwe? Nashukuru Israel haiangalii makunyanzi inapiga kotekote mpaka kieleweke!!
Nimeelewa unahoji kwa Nini Mungu anaruhusu hayo Mauaji ya watoto?! Ni kweli Mungu haruhusu!!Me kwan nimemchagulia upande Mkuu? Au ww umeelewaje
💪Wakati hao hamas wanazaliwa wapya kwanin wayahud watakuwa tasa mkuu? Usisahau hawa ni wajukuu wanapambana na usiwe ukikariri kila kitu kina mwisho wakati mwingine mwisho wa kitu unaweza kuwa ndio mwisho wako wewe
Kwa watu kuuawa Congo haimaaninishi ni funguo au ni haki kwa Palestinians kuuawa, wote ni binadamu na wala sijasapoti mauaji ya Congo............ Kumbuka hata hapo jirani tu Congo pia kuna watu wanakufa japo watu kwa unafiki wanajifanya hawaoni ila wanaona ya wapalestina tu walioko maelfu ya kilomita utafikiri Congo wenyewe sio binadamu...😧😧😧
Wakati harakati hizi zinaanza inawezekana kabisa huyu alikuwa hajazaliwa, watazaliwa wengine wengi kama yeye, Suluhu ya hapo Gaza na mashariki ya kati haiki kwenye mtutu..
Israeli akikaza shingo, hakuna siku ataishi kwa amani hapo mpaka mwisho wa Dunia.
Hao Palestina hawawezi kuwa wanyonge tu siku zote, IPO siku watakuja kuwa na nguvu nao kuleta maafa makubwa Israeli.
Hata wapalestina wanahitaji utulivu. Angalia Al Jazeera kila wakati wanaonesha, raia wa kawaida wanapata mateso wakati wanamgambo wamejificha kwenye mahandaki na viongozi wao wakiwa nje ya nchi.Ni kweli mkuu hata wao Wayahudi watakuwa wanazaliana, lakini kwasasa anayehitaji amani na utulivu Kwa kiasi kikubwa na mwenye cha kupoteza ni Israeli, hao wapalestina wameshafika mwisho.
Ukiwa na jirani msumbufu aliyejikatia tamaa, mateso utayapata wewe unayetaka utulivu.
Wakati harakati hizi zinaanza inawezekana kabisa huyu alikuwa hajazaliwa, watazaliwa wengine wengi kama yeye, Suluhu ya hapo Gaza na mashariki ya kati haiki kwenye mtutu..
Israeli akikaza shingo, hakuna siku ataishi kwa amani hapo mpaka mwisho wa Dunia.
Hao Palestina hawawezi kuwa wanyonge tu siku zote, IPO siku watakuja kuwa na nguvu nao kuleta maafa makubwa Israeli.
Lakini wala hamwazungumzii wakongo ambao ni waafrika wenzenu muda wote mko kwa waarabu tu na huo ni unafiki wa wazi kabisa.Kwa watu kuuawa Congo haimaaninishi ni funguo au ni haki kwa Palestinians kuuawa, wote ni binadamu na wala sijasapoti mauaji ya Congo
Yes the decimation of the Rafa is justified because it has been the Israelis reaction to the Hamas' terror on Israel.
Kifo cha Muhammad na cha yesu kipi kifo dhalili??,Watazaliwa na watakufa tu, hata muasisi wa uislamu Muhammad pamoja na maugaidi yake ya kuua Wayahudi na kuuza watoto wao mateka bado alikufa.
Nafikiri hakuna anayejipangia aje vipi duniani na pia atokeje duniani ila yupo anayepanga yote hayo kwa kadri inavyo mpendezea.Kifo cha Muhammad na cha yesu kipi kifo dhalili??,
Aliyepigana vita (mbali mbali) huku akishika upanga na jeshi la watu wachache zidi ya maelfu ya wana jeshi wenye silaha kali na vifaa vya kisasa kwa wakati huo , hakufa vitani wala kujeruhiwa hadi kupelekea kufa, kafa kitandani huku familia, ndugu, maswahaba, wake iki pata neno la mwisho huyo ni mtume MUHAMMAD
Huku YESU akipigwa mawe, kuvuliwa nguo na kuzalilishwa mbele ya jamii yake, huku hiyo jamii yake iki shangilia
Nani kafa ki dhalili?, au ndio akili imebaki ya kuvukia barabara tu zebra crossing 🚸