Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

When it comes to my country you can go fvck yourself.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Embu tazama hapo saa inasema ni saa ngapi 17 :55 na ww ume post saa [SUP] [/SUP]3;32 oh foolish thank God we catch you early
Kenya still trending in Tanzanian Twitter.

Tanzania nowhere to be seen in kenyan Twitter. Kenyans don't care about you guys [emoji23][emoji23][emoji23]

Time difference (-2:30 ).

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Ww jamaa ni zumburukuku kweli ss je izo diplomatic talk wanatumiaga lugha gan ? Maana na nyiee hamjui kiswahili fasaha . Kjeri yetu we understand english conversantly
English is important. No one blocked Tanzania from kenya.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli angewapiga ban one month..
Tuone kama wange survive vipi hawa watu
Tufunge na mpaka kabisa for one month
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Embu tazama hapo saa inasema ni saa ngapi 17 :55 na ww ume post saa [SUP] [/SUP]3;32 oh foolish thank God we catch you early
Mmecheka kinoma "thanks God we catch early"
 
Unajisifu na aviation yenu ni choo.
Less than 5million pass.
 
Kuna mashirika mengine ya ndege ambayo binafsi nikisikia yametununia nitaogopa.....kwa mfano KLM.....Qatar.....Emirates......Turkish.....Swiss.....etc......
Nikisema hivi......wadau wa utalii wananielewa vizuri.........
Juu ni za wazungu,arabs
Wewe kama black African hujiamini kwani?
 
Kwenda kuwekwa karantini siku 14 sasa ndiyo shida na gharama za kujikimu nchini Kenya ziko juu Mpaka basi

Karantini ni mtihani jamani
 
English is important. No one blocked Tanzania from kenya.View attachment 1523936

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app

Pengine haujui kikicho semwa mwanzon . Ji ulize ni kwa nn awali ktk sakatta la madereva wa malori, kulipendekezwa ili swala la negative certificate una pass. kenya waka kataa wakidai maabara yao ni bora zaid, ss leo hii mfumo wa cerficate unatumika kiwaruhusu wasafir ...kwann mwanzo walishindwa na ss iv wame weza ? Je ina maana Kenya wana jua ubora wa maabara za nchi zote ?
 
Typing error ww stupid
Wala sikuona kama kuna typo kwenye comment mkuu mmi nilifurahi tu jinsi ulivyomkamata yule mdhandiki na maupotoshaji yake πŸ˜‚πŸ˜‚ ila nimeambulia kuitwa stupid na uzee wote huu asalale
 
Kwani sisi tulisemaje? Sisi tulijibu hoja tukadhani mta endeleza jamvi, sasa Aliye hangaika kumtafuta mwenzie nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…