Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

When it comes to my country you can go fvck yourself.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Embu tazama hapo saa inasema ni saa ngapi 17 :55 na ww ume post saa [SUP] [/SUP]3;32 oh foolish thank God we catch you early
Kenya still trending in Tanzanian Twitter.

Tanzania nowhere to be seen in kenyan Twitter. Kenyans don't care about you guys [emoji23][emoji23][emoji23]

Time difference (-2:30 ).
Screenshot_20200801-202827_Twitter.jpg
Screenshot_20200801-202804_Twitter.jpg


Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Ww jamaa ni zumburukuku kweli ss je izo diplomatic talk wanatumiaga lugha gan ? Maana na nyiee hamjui kiswahili fasaha . Kjeri yetu we understand english conversantly
English is important. No one blocked Tanzania from kenya.
Screenshot_20200801-175123_Twitter.jpg


Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli angewapiga ban one month..
Tuone kama wange survive vipi hawa watu
Tufunge na mpaka kabisa for one month
 
😆😆😆 Embu tazama hapo saa inasema ni saa ngapi 17 :55 na ww ume post saa [SUP] [/SUP]3;32 oh foolish thank God we catch you early
Mmecheka kinoma "thanks God we catch early"
 
Uzuri migogoro yote mnayoianzisha hamjawahi kujibiwa na waziri achilia mbali rais. Hawana muda na nyie, yaani mkurugenzi mamlaka ya ndege ame switch mnataftana.

Ma RC wameswitch mnataftana.

Siku mkijibiwa na waziri sijui itakuwaje. Siku mkijibiwa na rais nadhani nchi yenu itakuwa shut down kabisa.

Kenya siku zote inajibiwa na watu wadogo Tanzania
Unajisifu na aviation yenu ni choo.
Less than 5million pass.
 
Kuna mashirika mengine ya ndege ambayo binafsi nikisikia yametununia nitaogopa.....kwa mfano KLM.....Qatar.....Emirates......Turkish.....Swiss.....etc......
Nikisema hivi......wadau wa utalii wananielewa vizuri.........
Juu ni za wazungu,arabs
Wewe kama black African hujiamini kwani?
 
Kwenda kuwekwa karantini siku 14 sasa ndiyo shida na gharama za kujikimu nchini Kenya ziko juu Mpaka basi

Karantini ni mtihani jamani
 
English is important. No one blocked Tanzania from kenya.View attachment 1523936

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app

Pengine haujui kikicho semwa mwanzon . Ji ulize ni kwa nn awali ktk sakatta la madereva wa malori, kulipendekezwa ili swala la negative certificate una pass. kenya waka kataa wakidai maabara yao ni bora zaid, ss leo hii mfumo wa cerficate unatumika kiwaruhusu wasafir ...kwann mwanzo walishindwa na ss iv wame weza ? Je ina maana Kenya wana jua ubora wa maabara za nchi zote ?
 
Typing error ww stupid
Wala sikuona kama kuna typo kwenye comment mkuu mmi nilifurahi tu jinsi ulivyomkamata yule mdhandiki na maupotoshaji yake 😂😂 ila nimeambulia kuitwa stupid na uzee wote huu asalale
 
I thought this order from TZ would last long. Turns out all our CS needed was to give an English grammar lesson to their government and poof! Less than 24 hours and KQ is back in TZ with Tanzania having earned nothing except looking like a petulant inept nation
Kenya Airways to Resume Tanzania Flights as Nations End RowView attachment 1524043

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Kwani sisi tulisemaje? Sisi tulijibu hoja tukadhani mta endeleza jamvi, sasa Aliye hangaika kumtafuta mwenzie nani??
 
Back
Top Bottom