Hatimaye kesi yangu na NMB Bank yapata ufumbuzi

NOKE

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
280
Reaction score
596
Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea.

Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana. Hii njia ndio ilileta utatuzi, ndani ya siku 3 tu.

Niliyojifunza kutokana na hii kesi.

1. Jf is a supportive social media. Yaani hapa unapata consultation services bure tu.
2. Kutunza fedha sehemu tofauti, cash iwepo mfukoni na ndani, kwenye simu na bank. Likitokea tatizo, rahisi kulimudu.
3. Hata Taasisi kubwa na Imara, zinaweza shindwa tatua tatizo lako kwa njia rasmi kiasi cha kulazimika kutafuta mtu ndani ya Taasisi hio akupe msaada binafsi.
4. Tatizo la miamala kufeli lipo na linaweza kuwa sio wizi.

Asante,
Noke
 
Jamii forum ni LIKIJIJI LIKUUBWAAA mnoo/ jamii forum NI JIJIKUBWA MNOO.

HUMU NJOO NA JAMBO LAKO NAKUHAKIKISHIA UTASAIDIWA BUREEE KABISA KWENYE KILA ANGLE YA KIMAISHA.
 
Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea.

Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana. Hii njia ndio ilileta utatuzi, ndani ya siku 3 tu.

Niliyojifunza kutokana na hii kesi.

1. Jf is a supportive social media. Yaani hapa unapata consultation services bure tu.
2. Kutunza fedha sehemu tofauti, cash iwepo mfukoni na ndani, kwenye simu na bank. Likitokea tatizo, rahisi kulimudu.
3. Hata Taasisi kubwa na Imara, zinaweza shindwa tatua tatizo lako kwa njia rasmi kiasi cha kulazimika kutafuta mtu ndani ya Taasisi hio akupe msaada binafsi.
4. Tatizo la miamala kufeli lipo na linaweza kuwa sio wizi.

Asante,
Noke
1754388997540.jpeg
 
Back
Top Bottom