Kuna mstaafu ulimuona analalamikia hicho kikokotoo cha zamani? Au ni nyinyi wenyewe tu ndiyo mliamua kuzikwapua hela za michango ya wafanyakazi na kufanyia mambo yenu mengine nje ya utaratibu?Kama huelewi 50 50 tukueleweshe Kwa lugha Rahisi maana yake unachukua 50 percent mkupuo na monthly pension utalipwa 50 percent ya mshahara ukikuwa unapata maisha Yako yote
Ukitaka 80 percent mkupuo ina maana utalipwa monthly pension 20 percent ya mshahara wako maisha Yako yote kitu ambacho Sio Afya sana Kwa mstaafu
Niache kuishi kwa raha wakati napokea 100% ya mshahara wangu nije kuishi kwa raha wakati napokea 75% ya mshahara?! kama sielewi hiviMonthly pension itashuka sana waulize wastaafu waliolipwa mkupuo asilimia 25 wanaishi maisha ya Raha sana pension ya Kila mwezi hawapishani sana na walioko ofisini sababu monthly pension ni kama 75 percent ya mshahara walikuwa wanapata
Ukiweka asilimia 50 maana yake unataka monthly pension Yako iwe nusu ya mshahara uliokuwa Ukipata kazini haiko vizuri Kwa mstaafu
Binafsi ningepekeza wastaafu walipwe asilimia kumi tu mkupuo ili monthly pension Yao iwe asilimia 90 ya mshahara waliokuwa wakipata kazini
Lakini mtoto akililia wembe mpe ndicho serikalli imefanya
Kazi nzuri ya mama,bila shaka wataendelea kulegeza Hadi asilimia 50% ya awali.Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha
====
Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Huyo mbunge ni mpumbavu sana, kichwani ana makamasi TU!Kwanini wasiweke 50-50!
Chao chote unakijua? Unajua maana ya social security?Wapewe chao chote yanini wawape 40%?
Ndogo sana wakati kabla ya kikokotoo walikuwa wakipewa 50%Ngoja tuone, hesabu. Kama ulipostaafu jumla ya pesa yako ni Mil 100, so utalipwa Mil 40 badala ya Mil 33.
Bado ndogo sana.
Chao chote unakijua? Unajua maana ya social security?
At least waweke 60%Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha
====
Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Bado, kwanini isiwe 90%, hizi ni fedha za watu aseeAkiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha
====
Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Kiwe 90%Warudishe tu kile kikokotoo cha zamani. Wastaafu wanataka mpunga wa kueleweka ili wafanyie mambo yao ya msingi mara tu baada ya kustaafu.
Utaratibu utawekwaVipi kuhusu wastaafu waliolipwa mafao ya kikokotoo kilichokataliwa? Wanafidiwa vipi? Halafu bado! Wafanyakazi wanakitaka kile kikokotoo cha mwanzo.
Yn ushindwe kufanya mambo yako ya msingi ukiwa kijana uje ufanye ukiwa umestaafu?Warudishe tu kile kikokotoo cha zamani. Wastaafu wanataka mpunga wa kueleweka ili wafanyie mambo yao ya msingi mara tu baada ya kustaafu.
Huo ndio ukweli, ila ajabu watu wanaopinga ni wale ambao bado wako kazini.Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo
Hela ya mkupuo hukata upesi
Hv mfano ukilipwa 50% kwa mkupuo, hy 50% inayobaki ni unalipwa mpaka itakapoisha au utakapokufa?Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo
Hela ya mkupuo hukata upesi
Kupanga ni kuchagua.Yn ushindwe kufanya mambo yako ya msingi ukiwa kijana uje ufanye ukiwa umestaafu?
Mshahara wake shilingi ngapi nikupe hesabuHivi hiyo monthly payment huwa inategemea vigezo gani? Kwa mwalimu anaweza kupata ngapi kwa makario eg kama atalipwa 40% kwa mkupuo.