Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Infact, kuna namna Serikali kama Mwajiri inawachukulia waajiriwa wake namna ambayo kwa kweli ni ya kuwaona kama aina fulani ya watu hivi..Why umlazimishe mtu kumshikia hela zake?
Kwani amelukwa na akili na je kuna aliezifuja hela zake akarudi kuisumbua serikali ama kudai? Matendo na sheria zingine zinatoa indicators kwa jamii na raia kwa ujumla kuwa serikali yetu imefilisika
Duh! Kiburi cha uzima hiki.Labda uwe na maradhi ya kufa kesho
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Msuguri Sasa hivi ana miaka 104 na Yuko fit alistaafu jeshi akiwa na miaka 60 anaendelea kulipwa pension monthly Toka astaafu miaka 44 iliyopita akiwa na miaka 60
Usicheze na pension ya mwezi Mzee Yuko fit Tu na umri wake WA Miaka 104 hasumbui watoto wala ndugu
Kama una maradhi utajijua lakini mifuko ya pension haiwezi Fanya maamuzi Kwa kuangalia wagonjwa ambayo maradhi wengine waklkoyatoa wanaojua wenyewe yawe wengine waneyapata sababu ya life style wakiwa kazini wakaendekeza umalaya hadi kupata ukimwi huko wanaishi Tu Kwa matumaini kifo wakijua siku yeyote kinatua kwao
Na hao wagonjwa wastaafu ni asilimia ndogo Sana ndio wanataka walipwe chote wakafie mbele wanataka kufa na watu wazima
Serikali isisikilize hiyo migonjwa inaumwa ukimwi hiyo asilimia 40 inatosha msiumize watu wazima Kwa sababu ya kelele za wagonjwa wanaoishi Kwa ARV
Hapo we inakuhusu nini, acheni ufisadiPension kazi yake Sio kujenga nyumba kama hukujenga ndio maana ulaya na marekani wazee miaka 60 hutaka monthly pension zao ziende nyumba za kulea wazee mstaafu huenda kuishi huko na huhudumiwa Kila kitu kuanzia chakula malazi,matibabu ,mavazi nk ili asisumbue ndugu nk kuwa akistaafu Hela inaishia kujenga nyumba na kuaanzisha vimiradi Koko vya kumpa presha afe haraka
Miaka 60 ndio unajenga nyumba na kuanzisha biashara akili kichwan zimo wewe? Una uhakika zimo ? Wewe umri huo ni WA kuishi na monthly pension tu
Na wewe mchumia tumbo maana unavyokaziaa duh!Sahihi hao waliodai kikokotoo Hela ya mkupuo ipande kiwango kipande hawajielewi kuwa monthly pension itakuwa ndogo
Mchezo wa draft umewashinda
Unaandika kama katoto au umevuta shisha.Labda uwe na maradhi ya kufa kesho
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Msuguri Sasa hivi ana miaka 104 na Yuko fit alistaafu jeshi akiwa na miaka 60 anaendelea kulipwa pension monthly Toka astaafu miaka 44 iliyopita akiwa na miaka 60
Usicheze na pension ya mwezi Mzee Yuko fit Tu na umri wake WA Miaka 104 hasumbui watoto wala ndugu
Kama una maradhi utajijua lakini mifuko ya pension haiwezi Fanya maamuzi Kwa kuangalia wagonjwa ambayo maradhi wengine waklkoyatoa wanaojua wenyewe yawe wengine waneyapata sababu ya life style wakiwa kazini wakaendekeza umalaya hadi kupata ukimwi huko wanaishi Tu Kwa matumaini kifo wakijua siku yeyote kinatua kwao
Na hao wagonjwa wastaafu ni asilimia ndogo Sana ndio wanataka walipwe chote wakafie mbele wanataka kufa na watu wazima
Serikali isisikilize hiyo migonjwa inaumwa ukimwi hiyo asilimia 40 inatosha msiumize watu wazima Kwa sababu ya kelele za wagonjwa wanaoishi Kwa ARV
Ishi kwenye point yangu ya kushindwa kufanya makubwa ukiwa kijana.Tuchukulie kwamba haukufanya hayo makubwa ujanani.Hiyo ndiyo iwe sababu ya kupewa hela halali yako kidogo?Kwa nini upangiwe mgao wa kitu chako?Huo wema wa kutunziana fedha umeanza lini?
Ilipwe 90%. Halafu huu mtengo sijui nani aliutega. Hii inakinzana na dhana ya Fanya kazi na update haki yako ya ujira!Ngoja tuone, hesabu. Kama ulipostaafu jumla ya pesa yako ni Mil 100, so utalipwa Mil 40 badala ya Mil 33.
Bado ndogo sana.
Sugar coating. TuAkiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha
====
Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Una uhakika wa kuishi? Bora uchukue chako mapema.Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo
Hela ya mkupuo hukata upesi
Kwa hiyo wastasfu wote ni maabuIshi kwenye point yangu ya kushindwa kufanya makubwa ukiwa kijana.
Anyway, ukiona mstaafu anapambana sana kupata mafao yake ujue huyo hakujipanga akiwa kijana kwahy bora serikali impe kdg kdg ili maslay queen wasije kupita na pesa ya kiinua mgongo ht hy pesa ya mkupuo asipewe.
Afu kngn, kama unapewa 40% kwa mkupuo na 60% mdogo mdogo tena Sir God akikubariki ukakaa muda mrefu hadi ile 60% kupitiliza mbona hamlalamiki?
Kuna wastaafu hawapangi foleni kufatilia mafao yao, hao waweke pembeni sio wnzko wanaosemewa kwenye h 40% hy n nyie wazee nlioshindwa kujipanga mkiwa vijana na sasa akili imeamka ukiwa umestaafu hvy unataka kufanya kazi ukiwa dkk za jioooooooooooon ndio tunawakuta mnabanana na vijana kwenye shughuli za kijamii badala mpumzike.Kwa hiyo wastasfu wote ni maabu
Upuuzi mnaokaririshwa umumba
Wabunge vipi au ni jamii hofauti ma wafanyakazi
Kujipanga ujanani ulimaanisha wale rushwa. A wizi je zile post ambazo hazina rushwa na wizi wafanyene?
Na je ukaishi?Una uhakika wa kuishi? Bora uchukue chako mapema.
Hivi unajua kwamba hiyo monthly pension unalipwa miaka kumi tu na ikitokea hujafaMonthly pension itashuka sana waulize wastaafu waliolipwa mkupuo asilimia 25 wanaishi maisha ya Raha sana pension ya Kila mwezi hawapishani sana na walioko ofisini sababu monthly pension ni kama 75 percent ya mshahara walikuwa wanapata
Ukiweka asilimia 50 maana yake unataka monthly pension Yako iwe nusu ya mshahara uliokuwa Ukipata kazini haiko vizuri Kwa mstaafu
Binafsi ningepekeza wastaafu walipwe asilimia kumi tu mkupuo ili monthly pension Yao iwe asilimia 90 ya mshahara waliokuwa wakipata kazini
Lakini mtoto akililia wembe mpe ndicho serikalli imefanya
Madogo ambao mnaishi kwa shemeji zenu mna maneno sana. Ebu toa maelezo namna ya kujipanga kwa mwalimu anaye lipwa laki 4 na hana posho yoyote mwaka mzima huku akiwa na wategemezi kadhaa.Kuna wastaafu hawapangi foleni kufatilia mafao yao, hao waweke pembeni sio wnzko wanaosemewa kwenye h 40% hy n nyie wazee nlioshindwa kujipanga mkiwa vijana na sasa akili imeamka ukiwa umestaafu hvy unataka kufanya kazi ukiwa dkk za jioooooooooooon ndio tunawakuta mnabanana na vijana kwenye shughuli za kijamii badala mpumzike.
kama aliwagawia watoto wanatakiwa wamtunze.Kuna mwalimu mmoja alichukuwa hii ya mkupuo, akakimbilia kujenga kijijini anakoishi, akagaiwa watoto kidogo na iliyobaki akawa ananywea pombe mpaka ikakata. Sasa hivi anaishi kimaskini kweli kweli. Nadhani huyo angepata hii ya kila mwezi ingemsaidia zaidi.