Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

Why umlazimishe mtu kumshikia hela zake?
Kwani amelukwa na akili na je kuna aliezifuja hela zake akarudi kuisumbua serikali ama kudai? Matendo na sheria zingine zinatoa indicators kwa jamii na raia kwa ujumla kuwa serikali yetu imefilisika
Infact, kuna namna Serikali kama Mwajiri inawachukulia waajiriwa wake namna ambayo kwa kweli ni ya kuwaona kama aina fulani ya watu hivi..
 
Hivi hiki kikokotoo hata mashabiki wa ccM kinawahusu au wapinzani tu?
 
Duh! Kiburi cha uzima hiki.
 
Kwakweli sioni uhalali wa serikali kujifanya wema WA kutunza fedha za watu ila ni siasa na ulaghai tuu
Kuna mstaafu analalamikia Bima yake ya Afya kuna baadhi ya huduma hawezi kupata. Sa utasemaje serikali ina huruma wakati maswala muhimu kama afya hawajazingatia alafu eti waseme wanamhifadhia mtu fedha?!?!.
 
Hapo we inakuhusu nini, acheni ufisadi
 
Unaandika kama katoto au umevuta shisha.
 
Hicho kikokotoo kama ni kizuri hivyo kama wanavyo sema mbona hua hakiwahusu wao wanao kula mezani kuu 🤔 au kwa kua hakiwahusu wao basi liwalo na liwe kwa hawa wazee watajijua 🤔 ugumu uko wapi kwani kurudisha kama kipindi cha nyuma 🤔 serikali iache tamaa hadi kwenye pesa za wazee waliotumikia taifa kwa karibu maisha yao yote
 
Tuchukulie kwamba haukufanya hayo makubwa ujanani.Hiyo ndiyo iwe sababu ya kupewa hela halali yako kidogo?Kwa nini upangiwe mgao wa kitu chako?Huo wema wa kutunziana fedha umeanza lini?
Ishi kwenye point yangu ya kushindwa kufanya makubwa ukiwa kijana.

Anyway, ukiona mstaafu anapambana sana kupata mafao yake ujue huyo hakujipanga akiwa kijana kwahy bora serikali impe kdg kdg ili maslay queen wasije kupita na pesa ya kiinua mgongo ht hy pesa ya mkupuo asipewe.

Afu kngn, kama unapewa 40% kwa mkupuo na 60% mdogo mdogo tena Sir God akikubariki ukakaa muda mrefu hadi ile 60% kupitiliza mbona hamlalamiki?
 
Ngoja tuone, hesabu. Kama ulipostaafu jumla ya pesa yako ni Mil 100, so utalipwa Mil 40 badala ya Mil 33.

Bado ndogo sana.
Ilipwe 90%. Halafu huu mtengo sijui nani aliutega. Hii inakinzana na dhana ya Fanya kazi na update haki yako ya ujira!
 
Sugar coating. Tu

Wafanyakazi msikubali

Uhalisia mnatakiwa mpate kikotoo Cha 70% kwa 30%
 
Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo

Hela ya mkupuo hukata upesi
Una uhakika wa kuishi? Bora uchukue chako mapema.
 
Kwa hiyo wastasfu wote ni maabu
Upuuzi mnaokaririshwa umumba

Wabunge vipi au ni jamii hofauti ma wafanyakazi

Kujipanga ujanani ulimaanisha wale rushwa. A wizi je zile post ambazo hazina rushwa na wizi wafanyene?
 
Kwa hiyo wastasfu wote ni maabu
Upuuzi mnaokaririshwa umumba

Wabunge vipi au ni jamii hofauti ma wafanyakazi

Kujipanga ujanani ulimaanisha wale rushwa. A wizi je zile post ambazo hazina rushwa na wizi wafanyene?
Kuna wastaafu hawapangi foleni kufatilia mafao yao, hao waweke pembeni sio wnzko wanaosemewa kwenye h 40% hy n nyie wazee nlioshindwa kujipanga mkiwa vijana na sasa akili imeamka ukiwa umestaafu hvy unataka kufanya kazi ukiwa dkk za jioooooooooooon ndio tunawakuta mnabanana na vijana kwenye shughuli za kijamii badala mpumzike.
 
Hivi unajua kwamba hiyo monthly pension unalipwa miaka kumi tu na ikitokea hujafa
basi mzigo ni wako na familia yako?
Ni heri wangeachana na kikokotoo watoe pesa yote kila mtu ajijue
kwani wabunge wanaolipwa mafao yao yote wanaishi vipi?
 
Madogo ambao mnaishi kwa shemeji zenu mna maneno sana. Ebu toa maelezo namna ya kujipanga kwa mwalimu anaye lipwa laki 4 na hana posho yoyote mwaka mzima huku akiwa na wategemezi kadhaa.
 
kama aliwagawia watoto wanatakiwa wamtunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…