Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

Sawa,siku Ukraine wakiikomboa Bakhmut uje unipe mrejesho!
Hizo drones hazikufanikiwa kwani !
Sio bakhmut tu ata hayo majimbo ya crimea yote kama ilivyoanguka Kherson karibuni.

Urusi walipoivamia ukraine walidhibiti eneo la ukraine lenye ukubwa wa nchi ya Newzaland hadi Kyiv walikuwa wameizingira kote mjini.

Kwanini hujiulizi sasa wanarusha makombora yao wakiwa wapi?

Muda utafika ukraine kwanza walikuwa na kazi ya kumtoa adui Kyiv sasa huko vijiji vya chumvi na bakhmut ni kazi ndogo sana, kwanza wacha tupokee mizigo mipya toka US na Ujerumani utasikia karibuni
 
Sio bakhmut tu ata hayo majimbo ya crimea yote kama ilivyoanguka Kherson karibuni, Urusi walipoivamia ukraine walidhibiti eneo la ukraine lenye ukubwa wa
Kwani Sasa hivi Urusi anakalia ardhi ya Ukraine size ya nchi gani?

Huko kherson Bado Russia anakalia eneo kubwa kuliko lililo chini ya Ukraine!

Hakuna namna Ukraine ataweza shinda hii vita,mnapeana false hopes huku Ukraine ikizidi kubebeshwa mzigo wa madeni utakaochukua Karne kadhaa kulipa!
 
Kwani Sasa hivi Urusi anakalia ardhi ya Ukraine size ya nchi gani?
Huko kherson Bado Russia anakalia eneo kubwa kuliko lililo chini ya Ukraine!
Hakuna namna Ukraine ataweza shinda hii vita,mnapeana false hopes huku Ukraine ikizidi kubebeshwa mzigo wa madeni utakaochukua Karne kadhaa kulipa!
wewe ndio calculate hilo eneo ukitoa miji ya Kyiv ambayo ilikuwa ni misururu ya vifaru vya urusi tu vimetanda barabara zote ambapo sasa vimebaki kuwa ni maonyesho watoto wanapiga picha za ku-relux.

Madeni ya ukraine kwa silaha yasikupe pressure sana US anamuadhibu urusi vizuri sana hela ambazo russia iliwekeza ulaya na Marekani ndio zinazotumia kuisaidia Ukraine baada ya kutaifishwa,

Mbona urusi sasa anakopa drons toka Iran, silaha kutoka China, North Korea au yeye una hakika atasamehewa hayo madeni? Russia kwa siku anatumia Euro 160m ili apigane na uchumi wake umeganda unafkiri atakuwa na hali gani ukiisha mwaka huu?
 
wewe ndio calculate hilo eneo ukitoa miji ya Kyiv ambayo ilikuwa ni misururu ya vifaru vya urusi tu vimetanda barabara zote ambapo sasa vimebaki kuwa ni maonyesho watoto wanapiga picha za ku-relux...
Suala la assets kuwa frozen ni la muda tu!Linahitaji mchakato wa kisheria Ili frozen assets ziwe siezed,na hiyo ni long process na legal battle!

Lakini Usisahau Russia naye kafreeze assets za makampuni mengi ya west!

Huko kote unakotaja,Russia hapewi bure!Anaweza kutoa mafuta in exchange ya weapons!Wala hakuna maajabu!

Kama collective west wanashirikiana kutoa silaha mpaka zimekata na imebidi waexpand viwanda kuongeza production ya silaha, Russia lazima anunue silaha popote atakapopata Ili amaintain stock yake for the long term!

Putin kasema, kadiri mnavyotoa silaha,ndivyo ataendelea kuwasukuma zaidi Ukraine mbali!Nadhani umeelewa anamaanisha Nini!
 
wewe ndio calculate hilo eneo ukitoa miji ya Kyiv ambayo ilikuwa ni misururu ya vifaru vya urusi tu vimetanda barabara zote ambapo sasa vimebaki kuwa ni maonyesho watoto wanapiga picha za ku-relux...
Halafu hizo taarifa za uchumi kugoma umezitoa wapi?

Russia imeweka record Kwa kulipa deni la taifa msimu huu wa vita kuliko wakati mwingine wowote!
 
Shida yangu sio impact, ila kujipa raha kwa kipigo cha kutokea mlianza kuparamia Kyev
Endelea kujipa raha!Unajua hata waliokata tamaa kuna muda wao wanajipa raha!

"Waacheni masikini wanywe pombe wasahau shida zao"!Kesho wakitamka shida ziko palepale!

Jipe raha, jifurahishe utakavyo ila ukijiwasha data na kurudi kwenye uhalisia, msoto uko palepale😀
 
Endelea kujipa raha!Unajua hata waliokata tamaa Kuna muda wao wanajipa raha!
"Waacheni masikini wanywe pombe wasahau shida zao"!Kesho wakitamka shida ziko palepale!
Jipe raha,jifurahishe utakavyo ila ukijiwasha data na kurudi kwenye uhalisia,msoto uko palepale😀

Napata raha hadi naumwa, vijana wa Ukraine wanaipigania nchi yao, ardhi yao, milima yao, mito yao kizalendo aki ya nani wataandikwa kwenye vitabu vya historia.....
 
Napata raha hadi naumwa, vijana wa Ukraine wanaipigania nchi yao, ardhi yao, milima yao, mito yao kizalendo aki ya nani wataandikwa kwenye vitabu vya historia.....
There is No HONOUR in dying for NATO interests.....

This Time tulitegemea Ukraine wawe busy na uchumi wao Wawe wana ENJOY Maisha sasa NATO ametafuta Zelensky ukweli huyu jamaa amesababishia Ukraine vifo ambavyo havikuwa na Ulazima

Halafu pia Wa NA Ukraine hao hao wanakataa kwenda kufia nchi yao, wanawakamatwa kwa nguvu wanawalazimisha kupiga vita vyenye INTEREST YA NATO

HII VITA IKIeNDELEA ITAISHIA PABAYA kuna hatari ya matumizi ya silaha za NUCLEAR ...NATO hawatahusika na majanga ya NUCLEAR WATAYOPATA UKRAINE

DYING FOR NATO????
 
Halafu hizo taarifa za uchumi kugoma umezitoa wapi?
Russia imeweka record Kwa kulipa deni la taifa msimu huu wa vita kuliko wakati mwingine wowote!
Mbona raia wake wanahama na kutokomea kusikojulikana kutafuta maisha mpaka bunge lao limetunga sheria kwa raia watakaohama na kuwapa adhabu ya double taxation
 
Us na dada zake wa Ulaya kila siku wanapeleka silaha Ukraine, halafu wanalia lia na mchina asipeleke silaha Urusi, hawa jamaa ni vichaa sanaaa
Waache Iran apeleke vitu na Mchina ili washuhudie show ya kibabe ya Wagner PMC na Chechens.
 
Napata raha hadi naumwa, vijana wa Ukraine wanaipigania nchi yao, ardhi yao, milima yao, mito yao kizalendo aki ya nani wataandikwa kwenye vitabu vya historia.....
Ni kweli wataandikwa kwenye kumbukumbu kutokea mavumbini!

Nchi inaenda kuwa ya wanawake 90%,10% male!

Endelea kuona Raha!
 
Mbona raia wake wanahama na kutokomea kusikojulikana kutafuta maisha mpaka bunge lao limetunga sheria kwa raia watakaohama na kuwapa adhabu ya double taxation
We unaishi Dunia gani?Hao wakiondoka ni minor compared to the Russia population!

Halafu waliondoka kwasababu ya misinformation juu ya mobilization na sio Kwa ugumu wa maisha!

Maana Europe nzima Ina hali mbaya Kwa inflation.

Sasa watoke Russia kwenye unafuu wa bidhaa muhimu waende huko Europe wanapoona watu wanaandamana Kwa ugumu wa maisha?

Hizo habari za kuokoteza peleka vijiwe vya kahawa ukawadanganye wazee!
 
Suala la assets kuwa frozen ni la muda tu!Linahitaji mchakato wa kisheria Ili frozen assets ziwe siezed,na hiyo ni long process na legal battle!Lakini Usisahau Russia naye kafreeze assets za...
Russia watatoa mafuta in exchange ili wapewe silaha, fine huoni kwamba superpower ameanguka chini ya mwaka ananunua silaha kw mkopo?

Vipi kuhus Wagner group wale wanajeshi laki 3 alioanza nao walienda wapi?

Putin kasema putin kasema ivi wewe unamsikiliza putin bado?

Putin amesema mengi sana hakutekeleza hata moja, alisema akigundua west wanaisaidia silaha ukraine atashambulia kwa nuclear na siku zile akazitoa uwanjani kuzipasha moto mbona hakufyatua tena na US walimjibu kupitia waziri wa ulinzi Austin kwamba "Sisi US tunaisaidia ukrani duniani na mbinguni na tutahakikisha mipaka ya ukraine inabaki salama"

Alisema Finland na Sweden wakipeleka maombi ya Nato atashambulia kitovu cha ulaya mbona wakati maombi yanafanyika alikaa kimya?

Alisema Ukraine wakijiunga na Ulaya atapiga nuclear mbona aliufyata?

Alisema majimbo aliyopiga kura yakishambuliwa itakuwa imeshambuliwa urusi hivyo atajibu kama urusi tena kwa nuclear mbona kaufyata?

Kama unafkiri gas na oil iko urusi peke yake, nani analala gizani US ama ulaya? Mbona putini aliomba mafuta yake yanunuliwe soko la dunia?

Akapangiwa bei ya chini na kuamua kunywa mwenywe mafuta, Putin ni hali mbaya sana mkuu, Urusi ndio waliekeza zaidi ulaya mpaka mtoto wa putin hela zake zinaliwa ngawira zinatumwa ukraine msaada wa chakula na huduma mbali mbali
 
Sio bakhmut tu ata hayo majimbo ya crimea yote kama ilivyoanguka Kherson karibuni, Urusi walipoivamia ukraine walidhibiti eneo la ukraine lenye ukubwa wa nchi ya Newzaland hadi Kyiv walikuwa wameizingira kote mjini, kwanini hujiulizi sasa wanarusha makombora yao wakiwa wapi?

Muda utafika ukraine kwanza walikuwa na kazi ya kumtoa adui Kyiv sasa huko vijiji vya chumvi na bakhmut ni kazi ndogo sana, kwanza wacha tupokee mizigo mipya toka US na Ujerumani utasikia karibuni
Ni suala la muda tu.

Russia atatapika tarafa zote.
 
We unaishi Dunia gani?Hao wakiondoka ni minor compared to the Russia population!Halafu waliondoka kwasababu ya misinformation juu ya mobilization..
matajiri wa kirusi zaidi ya 15 elfu wamehama Russia na kuondoa makampuni yao Urusi, wewe unafkiri mtu amezoea kushika Dola na Euro leo umwambie utajiri wako utaendeshwa na Rubu au Yuan za kichina ama India nani ataweza kuishi nchi hiyo.

Wimbi la raia kuhama ni kubwa mno mpaka wametunga sheria kwenye bunge ni jambo la kusisimua sana,
 
Russia watatoa mafuta in exchange ili wapewe silaha, fine huoni kwamba superpower...
expand...
Mkuu acha kujadili mambo kama uko kwenye vijiwe vya kahawa,umeandika mambo mengi ya uongo na uzushi Kwa kujua au kutokujua!

1.Nimetolea mfano options alizonazo Russia juu ya kununua silaha!Wewe unakuja as if Russia kaishiwa silaha na Sasa ananunua silaha Kwa mkopo, hiki ni kitu gani umeandika?

Medvedev alisema,msitegemee kuona Russia akiishiwa silaha!Kama Russia ikiamua kununua silaha basi ni Kwa ajili ya kuhakikisha minimum reserve aliyojipangia inakuwepo!

Fikiria collective west,mpaka stock zao zinakauka na inabidi waongeze production kucover,Bado mnamchukilia poa Russia!

2.Unauliza kuhusu Wagner laki 3 walienda wapi alionza nao,kwani hao Wagner ambao wanawakimbiza bahkmut na kwingineko ni wepi?

3.Mnapenda kuja na kauli za rejareja bila zisizo na ukweli! Ni wapi alisema Ukraine akijiunga EU atashambulia kitovu Cha Ulaya? Niwekee ushahidi.

-Ni wapi alisema maeneo ya Crimea, DPR na LPR yakishambuliwa basi atajibu Kwa nuclear?

Hata hao west wanaoisaidia Ukraine wanajua mstari mwekundu,wenyewe wanajua silaha wanazotoa si zile zinazoweza kusababisha escalation of the war!Maana yake wanajua mipaka Yao!

4.West walipoweka price cap kwenye Oil &gas ya Russia, Putin alisign decree kuzuia uuzwaji wa Oil&gas Kwa nchi zinazounga mkono price cap! Matokeo yake nchi za EU zimeendelea kununua Gas ya Russia Kwa bei ya soko la Dunia!

Acheni propaganda mfu!
 
matajiri wa kirusi zaidi ya 15 elfu wamehama russia na kuondoa makampuni yao urusi, wewe unafkiri mtu amezoea kushika Dola na Euro leo umwambie utajiri wako utaendeshwa na Rubu au Yuan za kichina ama India nani ataweza kuishi nchi hiyo.,

Wimbi la raia kuhama ni kubwa mno mpaka wametunga sheria kwenye bunge ni jambo la kusisimua sana,
Wakati unatoa taarifa kama hiyo weka na link!
Hivi Unajua matajiri 15 wewe?Si uchumi wa Russia ungeanguka!
Nasubiri hiyo link!
 
Back
Top Bottom