Mkuu acha kujadili mambo kama uko kwenye vijiwe vya kahawa,umeandika mambo mengi ya uongo na uzushi Kwa kujua au kutokujua!
1.Nimetolea mfano options alizonazo Russia juu ya kununua silaha!Wewe unakuja as if Russia kaishiwa silaha na Sasa ananunua silaha Kwa mkopo, hiki ni kitu gani umeandika?
Medvedev alisema,msitegemee kuona Russia akiishiwa silaha!Kama Russia ikiamua kununua silaha basi ni Kwa ajili ya kuhakikisha minimum reserve aliyojipangia inakuwepo!
Fikiria collective west,mpaka stock zao zinakauka na inabidi waongeze production kucover,Bado mnamchukilia poa Russia!
2.Unauliza kuhusu Wagner laki 3 walienda wapi alionza nao,kwani hao Wagner ambao wanawakimbiza bahkmut na kwingineko ni wepi?
3.Mnapenda kuja na kauli za rejareja bila zisizo na ukweli! Ni wapi alisema Ukraine akijiunga EU atashambulia kitovu Cha Ulaya? Niwekee ushahidi.
-Ni wapi alisema maeneo ya Crimea, DPR na LPR yakishambuliwa basi atajibu Kwa nuclear?
Hata hao west wanaoisaidia Ukraine wanajua mstari mwekundu,wenyewe wanajua silaha wanazotoa si zile zinazoweza kusababisha escalation of the war!Maana yake wanajua mipaka Yao!
4.West walipoweka price cap kwenye Oil &gas ya Russia, Putin alisign decree kuzuia uuzwaji wa Oil&gas Kwa nchi zinazounga mkono price cap! Matokeo yake nchi za EU zimeendelea kununua Gas ya Russia Kwa bei ya soko la Dunia!
Acheni propaganda mfu!