Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

Kwa hiyo mnangojea mikopo ya silaha?
 

Russia anatumia eur 160m je Ukraine anatumia euro ngapi? Vipi USA?
 
Warusi wa JF walikuwa na msemo wao maarufu hapa 'Winter is coming' na kututabiria madhira yatakayowapata Ukraine kipindi cha baridi na kwamba hata West raia wengi watakufa kwa baridi.
 

Walikua busy na uchumi wao hadi supapawa aliyekua tegemeo la waarabu akajaribu kuparamia nchi yao, vijana wazalendo wakajitokeza na kupambana kulinda heshima ya nchi yao.
 
Ni kweli wataandikwa kwenye kumbukumbu kutokea mavumbini!

Nchi inaenda kuwa ya wanawake 90%,10% male!

Endelea kuona Raha!

Hiyo safi, unakufa kifo chenye umuhimu kwa ajili ya vizazi vijavyo sio kama nyie hujilipua kisa mumeaminishwa mabikira 72 kila mmoja.......hehehe napata raha sana.
 
Hiyo safi, unakufa kifo chenye umuhimu kwa ajili ya vizazi vijavyo sio kama nyie hujilipua kisa mumeaminishwa mabikira 72 kila mmoja.......hehehe napata raha sana.
Kuna fuse haziko sawa kichwani kwako!
 
Nilikuuliza kuhusu wanajeshi laki 3 wa russia ambao walianza uvamizi ukraine wameenda wapi mpaka sasa yanakuja hayo makundi ya kigaidi ya Wagner Group? ambao wengi wao ni wafungwa waliotoka magereza mbali mbali ya urusi

Siyo wewe tu unayesahau kauli alizotoa Putin na hata huyo Putin mwenyewe aliulizwa vipi sasa unasemaje Finland na Sweden wamejaza form za kujiunga na Nato mchana kweupe unasemaje? akabadilisha majibu akasema ''sisi hatuna shida wacha wajiunge lakini ikiwa US wataeka base yao kwenye nchi zao na sisi tutasogeza vikosi vyetu karibu yao'' wakati kabla alisema atashambulia kitovu cha ulaya., ndio maana US wamejua weakness za putin kiasi kikubwa kwamba ndaro na vitisho ndio jadi yake lakini action hana na sasa wanamtesa kweli kweli mpaka anaazima silaha kutoka Iran. Urusi inaenda kuanguka soon
 
Una shida mahali,unaleta maneno matupu bila ushahidi!Niwekee sehemu ambayo Putin alisema atashambulia kitovu Cha Ulaya iwapo Ukraine atajiunga EU,leta link!Niwekee sehemu ambayo Putin amesema atatumia Nuclear iwapo Crimea,DPR,LPR,Kherson zitashambuliwa!Weka link na sio unakuja na maneno matupu!

Unaniuliza kuhusu wanajeshi laki 3 wako wapi?Hilo nani anaweza kujibu?Kama wako mapunzikoni,kama wako wanalinda liberated areas,kama wamefanyiwa rotation,kama wamekufa,kama .......!
Hakuna anayeweza kujibu Hilo zaidi ya Urusi mwenyewe!
 
Yaani wanajeshi laki 3 wameenda mapumzikoni, halafu wakaajiriwa vijana wa miaka 18-50 kwa nguvu wakasainishwa paper na wao wakaenda mapumzikoni, halafu wafungwa akiwemo yule mtanzania kwa sharti la kufutiwa mashtaka na wao wakaenda mapumzikoni, wale majenerali akiwemo yule wa Syria naye kaenda mapumzikoni sasa kuna hao Wagner Group ambao nao ndani ya wiki moja wameenda mapumziko elfu 6000 itakuwa putin anatisha sana kwa kutoa likozo hilo kwa wapiganaji wake., nimesoma humu sasa wanafunzi wa chuo nao wanasajiliwa nao wakapate likizo
 
Kwenye ushahidi Naona umekimbia,Hilo najua umeelewa somo!
Nilichokwambia Mimi ni kuwa hatuwezi kujua kila askari Yuko wapi!Lakini mobilization Russia haikuwa lazima kama hapo unavyojaribu kusema!Hilo lipo Ukraine na kila Mwanaume haruhusiwi kutoka nje ya nchi na wanasakwa mtaani kupelekwa Frontline!
Wagner wanasikitika kwamba Bakhmut mwanzoni walikuwa wakipambana na askari wazoefubwa Ukraine,ila Kwa Sasa wamebakizwa wazee na watoto!Ndio wamemwambia Zele awarudishe hao watoto na wazee nyumbani!
 
Ukraine na NATO sasahivi wanapigana vita vya msituni (goliler war) dihidi ya urusi.. ofisi na miundombinu yote ya kijeshi imesambaratishwa kabisa...
Ilinibidi nicheke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…