Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Yanga ndiyo timu aliyofundisha kwa muda mrefu zaidi. Huwa hadumu na timu moja kwa zaidi ya msimu mmoja
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga ni kuwa Kocha wa kikosi cha Wanajangwani hao, Nasreddine Nabi amemaliza mkataba wake na ameamua kuondoka kwenda kutafuta maisha mengine.

Yanga inatarajiwa kutangaza muda wowote juu ya kuachana na kocha hiyo ambaye ameipa mafanikio makubwa.
View attachment 2657812
Huyu mzee wa Madrassa ana akili sana, anaondoka na heshima yake.
 
Anajua bahati haiji mara ya pili!! Msimu wa bahati umempandisha chati, lazima asepe kabla mambo hayajamdodea!
Sio bahati
Uwezo wake
Mtu aliechukua caf cc 2012 unasema bahati
Wakati wewe makocha wako wote waliokupitia hamna hata mmoja aliewahi kuchukua Hilo kombe??
 
Wadau someni wenyewe YANGA panachimbika huko
 

Attachments

  • 1686775243310.jpg
    1686775243310.jpg
    135.1 KB · Views: 4
Mayele soon naye tutasikia kaenda kutafuta changamoto nyingine.


Inakuwaga hivi hivi kama utani utani lakini ndio anasepa.

Ni kama ule msimu wa Corona, watu walikuwa wanakufa hawasemi kuwa ni Cirona tunaambiwa ni changamoto ya upumuaji.
 
Back
Top Bottom