Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Yanga ndiyo timu aliyofundisha kwa muda mrefu zaidi. Huwa hadumu na timu moja kwa zaidi ya msimu mmoja
 
Huyu mzee wa Madrassa ana akili sana, anaondoka na heshima yake.
 
Anajua bahati haiji mara ya pili!! Msimu wa bahati umempandisha chati, lazima asepe kabla mambo hayajamdodea!
Sio bahati
Uwezo wake
Mtu aliechukua caf cc 2012 unasema bahati
Wakati wewe makocha wako wote waliokupitia hamna hata mmoja aliewahi kuchukua Hilo kombe??
 
Wadau someni wenyewe YANGA panachimbika huko
 

Attachments

  • 1686775243310.jpg
    135.1 KB · Views: 4
Mayele soon naye tutasikia kaenda kutafuta changamoto nyingine.


Inakuwaga hivi hivi kama utani utani lakini ndio anasepa.

Ni kama ule msimu wa Corona, watu walikuwa wanakufa hawasemi kuwa ni Cirona tunaambiwa ni changamoto ya upumuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…