Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Msimu wa 2023-2024 Yanga haitachua ubingwa

Anaebisha aje tuwekeane mzigo
 
Acha ujinga ulitaka akae milele?
Uto, najua mmefurahi mbaya wenu Nabi kuondoka, lakini nawaambieni 2023/24 mtaambulia patupu tena. Maana GSM anamshusha p. gardiolla (Tulia: siyo gardiolla mnene) kuchukua nafasi ya nabi.

Mrudishe basi kinyume nyume, mchome hirizi uwanjani kichapo ni lazima
 
Ni vyema kuondoka kwa amani eneo ambalo bado unahitajika husususani kwa carrier ya ukocha.
 
Yaani misimu miwili mfululizo amewapelekea moto wapinzani wake!

Halafu machale yamcheze msimu ambao kikosi kiko katika kilele chake cha mafanikio!!
Kama hapa Yanga ilipo ndiyo kilele chao ina maana haiwezi kupanda zaidi ya hapa na kinachofuata ni kushuka chini.
 
Kwenye uzi wako wewe mwenyewe hukuwa na uhakika, ulitumia kitendo cha yeye kuwaaga mashabiki kuwa ndio uthibitisho.

Kuwaaga mashabiki kunaweza kuwa na tafsiri nyingi

Labda anawaaga kwasababu ya kumaliza msimu.

Labda anawaaga kwasababu Mashabiki wa mkoani kwasababu yeye anarudi dar.

So habari yako haikuwa specific na ndio maana nikauliza. "Kwa hiyo kuaga ndio kuthibitisha kuwa anaondoka"
"My personal future without Yanga is very tough,"

Huko ndio kuaga?
 
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
IMG_20230615_112532.jpeg
 
Back
Top Bottom