Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Wewe ndo uende ukaangalie rekodi uone kama nabi hajawai kuchukuaNabi hajawahi kuchukua hilo kombe akiwa kocha, nenda kaangalie kumbukumbu zako vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo uende ukaangalie rekodi uone kama nabi hajawai kuchukuaNabi hajawahi kuchukua hilo kombe akiwa kocha, nenda kaangalie kumbukumbu zako vizuri
Wewe ndo uende ukaangalie rekodi uone kama nabi hajawai kuchukua hilo kombeNabi hajawahi kuchukua hilo kombe akiwa kocha, nenda kaangalie kumbukumbu zako vizuri
😂😆😄👀😂😆😄Watu wanavyo mlilia aiseee kama mmefiwa
Alikua DC wa wapi kwani...🤔Nabi kasepa
Mbona umeandika kama vile una furaha?Nabi kasepa
Hakika Nabi Ni kocha aliyeacha Historia Kubwa Sana katika soka la Nchi yetu hakika tutamkunbuka kwa mengi na zaidi alipoifikisha Yanga Kimataifa mwaka.
The real mean of Professor.View attachment 2657883
Kwenye uzi wako wewe mwenyewe hukuwa na uhakika, ulitumia kitendo cha yeye kuwaaga mashabiki kuwa ndio uthibitisho.Nilikwambia kwenye uzi wangu ukaanza kunibishia. English simple kama ile mbona ilijieleza yenyewe tu.
Kabla ya kuingia kwenye arguments jitahidi uwe na taarifa, hili halihitaji ubishi wowote. Nabi hajawahi kuchukua kombe la CAFCC.Wewe ndo uende ukaangalie rekodi uone kama nabi hajawai kuchukua
AC LEOPARD alichukua kombe la CAF 2012 unajua kocha alikua nani ???Kabla ya kuingia kwenye arguments jitahidi uwe na taarifa, hili halihitaji ubishi wowote. Nabi hajawahi kuchukua kombe la CAFCC.
Mnaweza kuonyesha uzuri wa Nabi bila kulazimisha watu waamini uongo.
Ktk makocha wote waliowahi kufundisha Yanga, Nabi pekee ndo kaondoka huku mashabiki wakihuzunika, amewavusha yanga pakubwaa mnoo.
Kila la kheri kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ni mda wa kumrudisha papaa mwinyi zahera ila amlete papaa molinga kama mrithi wa mayele [emoji2][emoji2][emoji2]
Basi sawaahNi kwa mashabiki wa kizazi hiki...
Lakini hapo nyuma kulikuwa na makocha wengine ma-legendary Yanga kama mromania profesa Victor Stanculescu, mrundi bonge la kocha Nzoisaba Tauzany (marehemu), Tambwe Leah, Hans Van Pluijm (huyu wa Singida sasa)
Mkataa pema pabaya panamuita.Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga ni kuwa Kocha wa kikosi cha Wanajangwani hao, Nasreddine Nabi amemaliza mkataba wake na ameamua kuondoka kwenda kutafuta maisha mengine.
Yanga inatarajiwa kutangaza muda wowote juu ya kuachana na kocha hiyo ambaye ameipa mafanikio makubwa.
View attachment 2657812
UPDATES...
View attachment 2657948
Unalia ? Really??Analiaga huyu Yanga ikifungwa.....same tu me wanafunzi wangu wakishindwa kuperform vyema hesabu za Kwa paper naanza kulia darasani.
Wanafunzi wakiona nimelia wanajua hapa tumepona fimbo...paper linalokuja wananipigia hiyo math balaa.
Nami siachi kuwaambia tuimbe wimbo wetu wa MUNGU ASANTE! Wanaimbajeeee🤸🤸🤸🤸