Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Msimu wa 2023-2024 Yanga haitachua ubingwa

Anaebisha aje tuwekeane mzigo
 
Acha ujinga ulitaka akae milele?
Uto, najua mmefurahi mbaya wenu Nabi kuondoka, lakini nawaambieni 2023/24 mtaambulia patupu tena. Maana GSM anamshusha p. gardiolla (Tulia: siyo gardiolla mnene) kuchukua nafasi ya nabi.

Mrudishe basi kinyume nyume, mchome hirizi uwanjani kichapo ni lazima
 
Ni vyema kuondoka kwa amani eneo ambalo bado unahitajika husususani kwa carrier ya ukocha.
 
Yaani misimu miwili mfululizo amewapelekea moto wapinzani wake!

Halafu machale yamcheze msimu ambao kikosi kiko katika kilele chake cha mafanikio!!
Kama hapa Yanga ilipo ndiyo kilele chao ina maana haiwezi kupanda zaidi ya hapa na kinachofuata ni kushuka chini.
 
"My personal future without Yanga is very tough,"

Huko ndio kuaga?
 
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…