Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Wazee wa MAPAREDI YANGA ni Imani yetu mtafanya Paredi la NGUVU la kumuaga KOCHA NABI kama mlivyofanya la Kombe la Ligi kuu na ikibidi mpitisheni Mitaa ya MSIMBA Mia MMEMBEBA.Kitendo hicho kitakuwa ni HESHIMA KUBWA kwa KOCHA NABI licha ya KUONDOKA kwake ni UMASIKINI wa YANGA kushindwa Kumlipa MSHAHARA ALIOUTAKA. Pamoja na kuondoka kwake FANYENI hilo PARADE
Kwani ameifanyia Makubwa sana YANGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…