Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mirembe!!!!!!Hivi BET wanaachaje kuchukua mtu kama Don?
Huyu classic kwa Tz
Mzee wa shake hand akiwa na Beyounce[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoma nasikia umeirekodia Mirembe ,
Au vipi?
OfcourseUsikubali kuingia kwenye bifu na wanaharakati ukaja kukosa tuzo
OfcourseSi haba. Kwa kweli una enjoy life.
Asante mkuuNimesabuskraibu kabisa kwenye channel yako Don Nalimison. Chapa kazi usisikilize wanaojaribu kukukatisha tamaa [emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122]
Jamaa limekua kweli kweli ila linafanya mambo ya kijinga
Chawa wanasemaMirembe!!!!!!
Chawa?Chawa wanasema
Ita heat sana.Chawa?
Nazi tena bosi wangu?Hivi Don unaishije kwa sasa bila Nazi;halafu hivi kweli una wategemezi maana sio kwa ujinga huo
Muziki Lazima uwe mbunifu sio kuiga iga.Kwa lafudhi hii nikushauri ni bora uimbe nyimbo za Kisukuma.
Ukiimba Kisukuma utakuwa ni International local musician.
KaribuArtist😀J Don
Song:Let me hug you
Director:??????
Don naomba niwe videographer wako basi[emoji16]..
Wakuu Stephen Chelu na funzadume njooni muiangalie Ngoma mpya tuipeleke trend u tube..ina mavideo Vixen wa America km wote!!!