Hatimaye Kolabo yangu na Wanamuziki wa kike wa MAREKANI Kama video queens imekamilika. Kazi ni mpya kabisa

Kijinga Tena?
Unaingiza nini kwa huo utopolo bwana Don,ni afadhali uimbe nyimbo za kisukuma kama kina Bahati Budagara;halafu unaishije mjini mkubwa bila check namba ama ndio unaendana na lile andiko la mwanadamu hataishi kwa mshahara peke yake bali kwa kila senti idondokayo mbele yake
 
Subiri Mambo yanakuja.
 
Hongera sana Don.

Video Vixens expensive sana..

Imekugharimu Dollar ngapi kuikamilisha hii project?
 
Artist😀J Don
Song:Let me hug you
Director:??????

Don naomba niwe videographer wako basi[emoji16]..

Wakuu Stephen Chelu na funzadume njooni muiangalie Ngoma mpya tuipeleke trend u tube..ina mavideo Vixen wa America km wote!!!
Hakika Don Nalimison anatuheshimisha sana watanzania kwenye sanaa ya muziki.

Pure talent.
 
kimbiza kimbiza Don............... lazima wakae
 
That harmonic melody is faaar better than Baba Levo whole career.Hasa unapoimba cheki choda/soda😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…