Hatimaye Kolabo yangu na Wanamuziki wa kike wa MAREKANI Kama video queens imekamilika. Kazi ni mpya kabisa

Hivi BET wanaachaje kuchukua mtu kama Don?

Huyu classic kwa Tz

Mzee wa shake hand akiwa na Beyounce[emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoma nasikia umeirekodia Mirembe ,
Au vipi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hand claaap, shake foot, hug shoulder πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Don kama Don waueeeπŸ™Œ
 
Nilikuwa naomba kufahamu, hao wasanii wa Marekani uliwasiliana nao katika hiyo collabo?
 
Sheki sheki bodiii
Kongratuletiiiii
Let me hug shodaaa with yuuu(hata sjui bega mtu anahugije au mm ndo sielew? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)

Harmonize nahisi amekukopi bosss nayeye anataka kutoka kwa hii hii staili yako...

Shi dooo shi dooo ah
Yu go basti ma mendula
 
Kawaida tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…