Hatimaye Kolabo yangu na Wanamuziki wa kike wa MAREKANI Kama video queens imekamilika. Kazi ni mpya kabisa

Don Nalimison mtu mbaya, mtu mbad, mtu na nusu....

Go go go away,

Coz you confuse me,

Hatari sana mzee. Sasa ngoja nione hiki kitu kipya kwanza.
Go away iko stoo inasukwa upya
 
Hamna kitu hapo.
Nimeona umeweka wakina Rihana, Beyonce, Kelly Rowlings kama sikosei kwenye ngoma ya Dilema na Nelly..
Ungeimba nyimbo za kisukuma tu huenda ukatoboa.
 
Hamna kitu hapo.
Nimeona umeweka wakina Rihana, Beyonce, Kelly Rowlings kama sikosei kwenye ngoma ya Dilema na Nelly..
Ungeimba nyimbo za kisukuma tu huenda ukatoboa.
Imba wewe hicho kisukuma chako, ukauze kwa wasukuma wenzako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] dah. Hand shake
 
Ila harmo naye huwa ananiachaga hoi...

Eti...shidoooo shidoooo shidoooo waaaa, shidowa nobadeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…