Hatimaye kwa Mkapa kumejaa, naliona vibe la mashabiki wa wydad Casablanca na Rajacasablanca ndani ya Mkapa stadium

Haijalishi kwani ni ajabu timu kubwa kushindwa kuchukua kombe??.najua ww ni mdau wa mpira hiyo sio ajabu hata kidogo..
Mwakani zamu yenu mtanin😊😊😊 Nyie timu kubwaa sanaaaa..
 
Kwani wao wamekuja na mashabiki??
 
nalikumbuka goli la Bolizozo wa Stella Abidjan dhidi ya Simba 1993 uwanja wa Taifa mbele ya Mzee Ally Hassan Mwinyi

nasi uzalendo ukitushinda tusionekane wasaliti
 
Duuh sijui upo dunia ya ngapi
nilisikia kwenye vyombo cha habari serikali imetoa ndege kupeleka mashabiki kwa ajili ya final nikajua wanacheza nje ya TZ, mimi siomfuatiliaji sana wa Mpira ila nimekua na furaha yanga kutuwakilisha Vizuri Tanzania nimeuliza tu baada ya kusikia habari za kwa mkapa tena fainali kesho
 
Mashabiki wa Simba bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…